Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Usiseme tu kafikisha goli 12,,kwenye hizo 12 toa goli 5 za penalty anabaki na ngapi? Goli za penalty inahesabiwa alama 1 na goli ambazo sio za penalty ni alama 2, nakwambia tu ufanye mahesabu yako mapema usije kuona ameonewa badae ikitokea wamelingana magoli na wenzake,,maana wenzake Awana goli za penalty!Baada MR MVP Jean Charles Ahoua kufunga magoli 2 katika mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Dodoma Jiji anakuwa amefikisha jumla ya magoli 12 katika Ligi na kuwa kinara wa ufungaji.
Wanaomfuatia Jean Charles Ahoua ni Clement Mzize na Prince Dube ambao wote wana magoli magoli 10 kila mmoja.View attachment 3270244
VINARA wa magoli Ligi Kuu bara mpaka sasa msimu huu wa 2024/25
Jean Ahoua: 12
Clement Mzize: 10
Prince Dube: 10
Elvis Rupia: 9
Steven Mukwala: 8
Lionel Ateba: 8
Pacöm Zouzoua: 7
Peter Lwasa: 7
Aziz KI: 7
Andika muswada wa kuondoa penati katika soka kama unaona magoli ya penati siyo magoli.Kati ya hayo aliyofunga 6 ni ya kutenga yeye na kipa yaani penalty.
Alaumiwe Aziz kwa kutojua kupiga penalty. Huyo Jean Charles Ahoua ni kama Hussein Masha kwenye kupiga hiyo mipira. Hakukosi.Usiseme tu kafikisha goli 12,,kwenye hizo 12 toa goli 5 za penalty anabaki na ngapi? Goli za penalty inahesabiwa alama 1 na goli ambazo sio za penalty ni alama 2, nakwambia tu ufanye mahesabu yako mapema usije kuona ameonewa badae ikitokea wamelingana magoli na wenzake,,maana wenzake Awana goli za penalty!
Mjue siyo kwamba simba wanalalamika ilimradi tu bali malalamiko yao yana ukweli ninyi ile mechi yenu na dodoma mlipangiwa kikosi cha pili yule kipa wao ni kipa namba tatu wa timu, na baada ya mechi alipohojiwa alisema hakuwa na match fitness alikuwa hajacheza mechi kumi na tatu mfululizo halafu eti ghafla akaja kupangwa kwenye mechi ngumu kama ile, ilihali kipa namba moja alikuwepo na hakuwa na matatizo yoyote na ndio aliyepangwa leo na kikosi cha leo cha dodoma ni kikosi cha kwanzaYanga wangefunga hivyo mlio ungekua gsm anaharibu ligi
Mjue siyo kwamba simba wanalalamika ilimradi tu bali malalamiko yao yana ukweli ninyi ile mechi yenu na dodoma mlipangiwa kikosi cha pili yule kipa wao ni kipa namba tatu wa timu, na baada ya mechi alipohojiwa alisema hakuwa na match fitness alikuwa hajacheza mechi kumi na tatu mfululizo halafu eti ghafla akaja kupangwa kwenye mechi ngumu kama ile, ilihali kipa namba moja alikuwepo na hakuwa na matatizo yoyote na ndio aliyepangwa leo na kikosi cha leo cha dodoma ni kikosi cha kwanza
Mjifunze kukubali ukweli mechi zenu nyingi mnazocheza na matawi yenu huwa mnapangiwa vikosi dhaifu hivi mnavyozidi kudanganyana ndivyo mnavyozidi kupotezana, ndio maana kimataifa hamna consistency kama mngekuwa na ubora huo basi cafcl msingeshindwa kuvuka kundi jepesi kama lile, maana katika makundi yote kundi lenu ndio lilikuwa na afadhali au wewe niambie kama mlishindwa kuvuka lile kundi unadhani mngevuka lipi katika ya yale mengine yaliyobakiIli mradi tu mmekusanya lundo la vijisababu
Unamjua kinara wa magoli pale EPL?Kati ya hayo aliyofunga 6 ni ya kutenga yeye na kipa yaani penalty.
Baambie ukweli mkuu 😂Mjifunze kukubali ukweli mechi zenu nyingi mnazocheza na matawi yenu huwa mnapangiwa vikosi dhaifu hivi mnavyozidi kudanganyana ndivyo mnavyozidi kupotezana, ndio maana kimataifa hamna consistency kama mngekuwa na ubora huo basi cafcl msingeshindwa kuvuka kundi jepesi kama lile, maana katika makundi yote kundi lenu ndio lilikuwa na afadhali au wewe niambie kama mlishindwa kuvuka lile kundi unadhani mngevuka lipi katika ya yale mengine yaliyobaki
Ujaelewa kinachozungumziwa,,kwenye ushindani wa mfungaji Bora uyo ahou mtoeni kabisa atoweza kufua dafu kwa dube na mzize kwakuwa wao Awana magoli ya kuwapunguzia point but yeye anayo 5 ya penalty!Alaumiwe Aziz kwa kutojua kupiga penalty. Huyo Jean Charles Ahoua ni kama Hussein Masha kwenye kupiga hiyo mipira. Hakukosi.
Ipo wazi,Singida wanajikaza huko kote ila mechi na Yanga wanachezesha kikosi BYanga wangefunga hivyo mlio ungekua gsm anaharibu ligi
kinachozungumziwa,,kwenye
tengeni na nyie mfunge muongozeKati ya hayo aliyofunga 6 ni ya kutenga yeye na kipa yaani penalty.
Jaribu kuwa na akili kidogo umeelewa point yangu ama umekurupuka tu kama mkojo wa asubuhi? Nani kasema magoli ya penalty ayahesabiki? Magoli ya penalty yanahesabika but anapotafutwa mfungaji Bora magoli ya penalty uwa yanapewa point Moja na magoli ya kawaida uwa yanapewa point mbili,,uwezi kufunga magoli ya kutengewa ukawa sawa sawa na anayepambana kufunga kwa kuangaika!Kwaiyo kwenye ufungaji Bora magoli ya penati haya hesabiki
Nyuma mwiko hamjawai kua na aki