Wenzake kutokuwa na goli za penalti ni kosa la Ahoua!? Yule mpanga rangi nywele Aziz Ki amekosa penalti ngapi alizopewa apige!?Usiseme tu kafikisha goli 12,,kwenye hizo 12 toa goli 5 za penalty anabaki na ngapi? Goli za penalty inahesabiwa alama 1 na goli ambazo sio za penalty ni alama 2, nakwambia tu ufanye mahesabu yako mapema usije kuona ameonewa badae ikitokea wamelingana magoli na wenzake,,maana wenzake Awana goli za penalty!
Usisahau Wewe ulicheza fainali ukitokea champions league kama Bingwa wa Tz . Subiri kama inawezekana Simba atolewe champions league (siku atakaposhiriki) na kuangukia shirikisho, kisha ndio ulete huo ulinganisho.Ana ongelea robo mara 3 wakati sie tulifika fainali na yeye mwaka huu acheze fainali sasa kama anaweza 😃
TFF ilishatoa muswada huo kuwa kila goli la penalty lina uzito wa alama moja wakati magoli mengine yana uzito wa alama mbili. Ulikuwa hujui hilo na bado, unadhani unaujua mpira wa Tanzania?Andika muswada wa kuondoa penati katika soka kama unaona magoli ya penati siyo magoli.
Sasa mbona kama umeongea kinyume chake sehemu ambayo yanga anafika akiwa na kikosi bora simba ana uwezo wa kufika akiwa na kikosi kibovu, refer msimu jana simba ilikuwa na kikosi kibovu ambacho karibu kila shabiki alikikatia tamaa, lakini bado wakafika robo kama ninyi tu mliodai mna kikosi bora na mkaishia roboEti matawi yaani malalamiko fc mnafurahisha sana. Basi huko kimataifa mshapata kichaka cha kufichia hoja zenu. Kumbukeni tulishafika fainali sehemu ambayo huwa mnaishia robo tena mkiwa na kikosi kipana.
Sasa mbona kama umeongea kinyume chake sehemu ambayo yanga anafika akiwa na kikosi bora simba ana uwezo wa kufika akiwa na kikosi kibovu, refer msimu jana simba ilikuwa na kikosi kibovu ambacho karibu kila shabiki alikikatia tamaa, lakini bado wakafika robo kama ninyi tu mliodai mna kikosi bora na mkaishia robo
Na msimu juzi mlifika fainali cafcc kwa fluke tu maana robo na nusu mlipangiwa vibonde kina rivers na marumo ambao walikuwa wanaelekea kushuka daraja, ila mlipofika fainali mkakutana na wenye kombe lao usm alger ndio uwezo wenu ukaishia hapo, na mlikuwa na kikosi bora mna striker kama mayele ila bado mkashindwa kuchukua kombe lile mmebaki kujisifia medali tu
Sasa mngekutana na zamalek na berkane wenye michuano yao kwenye hatua ya robo sidhani hata kama nusu mngefika, sasa jiulize kama mna kikosi mnachosifia kuwa ni bora na hamna kombe lolote la kimataifa siku mkiwa na kikosi kibovu kama cha simba je itakuwaje, simba na kikosi chao kibovu wameenda robo cafcl mara tano mfululizo wamevuna pesa nyingi na points zilizo wapandisha rank huko kimataifa katika list ya timu bora africa wamewaacha mbali sana
Hawa walikimbia kama wangebakia walikuwa wanakula bao 7 na kuendeleaMkuu kumbe huwa mnakubali tuna kikosi kikali ee sasa mlipochapwa tano mbona mlianza kulalamikia rushwa miongoni mwa wachezaji wenu badala ya ubovu wa kikosi chenu.
Mnajisifia back to back robo fainali je mna hata hilo kombe la kimataifa?nyie si wazoefu huko? Mnasifia mmevuna pesa nyingi ila uwanja wenu hamna ,kikiumana huko kwenye pesa mnaanza kumdai Mo bilion zake mkisema ni zenu. Pesa nyingi mlizovuna mmefanyia kipi cha maana?
Kasome kanuni za ligi utapata majibukwa sheria zipi?
Basi walingane uone kinachofata maana mangungu amefuga mifugo mingi sana pale isiyojielewa,,jambo dogo tu la kupitia kanuni mnakuwa kama viazi mbatata!Utopolo akili hawana kweli.
Eti magoli yanatofautiana point hii ni kanuni ya wapi?? Au ndo vyura mnavyodanganyana hapo dimbwin eeh??
Haya ni mazara ya kula supu za vibudu.
Penalty ambazo Aziz K huwa anakosa kila kukichaKati ya hayo aliyofunga 6 ni ya kutenga yeye na kipa yaani penalty.