Jean-Paul Mobutu: Mtoto wa Kwanza wa Mobutu Sese Seko aliyetazamiwa kuwa Rais wa tatu wa DR Congo

wana laana hawa nimeuliza exact point walimuulia pale mji unaitwa Likasi about 120 kms from Lubumbashi watu hawajui sababu moise shombee na wabelgiji walimtia kwenye acid asiache alama kama osama "shrine".kumbukumbu iliyobak kumbukumbu pale ni sehemu walikotoa uranium ya hiroshima na nagasaki ukifika wameziba kwa zege kubwa sana
 
Ndio mkuu
Ni mtoto wa bobi ladawa. Alikimbia nadhani sababu alichukia kufukuzwa kazi na kabila, waligombana

Sent using Jamii Forums mobile app
josef ni muhuni alimwita drc amtumie tu kwenye uchaguzi wa 2006 kumpunguza nguvu jean pierre bemba sababu wanatoka sehemu moja ya equateur(north) na nzanga wanampenda sana
 
unajua sifa za wakasi
1.wapenda uchawi sana
2.tamaa mkikuyu haoni ndani
3.kupenda kutawala(esprit ya domination)
Nb Tshishekedi naye ni member wa kikasai
 
bro hizo ni stori za mtaani tu,josef ana mdogo wake (Zoe) copy naye ni dogo tu kazaliwa hapa dar
 
Ila Mobutu alikuwa millionea jamani,watoto wake wote wamesoma Ulaya na Marekani kuanzia primary mpaka vyuo.Birthday zilikuwa zinafanyika kwenye makasri ya Mobutu Ufaransa.Ila jamaa alijisahau mpaka mwisho wake ukawa mbaya.
Hakuwahi kua na akili huyo Muuaji Mobutu.
 
Taarifa ya habari ikitaka kuanza kwny TV ilikua lazima ionyeshwe Mobutu akishuka kutoka Mbinguni.
 
bro hizo ni stori za mtaani tu,josef ana mdogo wake (Zoe) copy naye ni dogo tu kazaliwa hapa dar
Kwahiyo kabila mkubwa ni kweli aliishi dar ? Na alikua anafanya shughuli gani hapo dar ? Maana mimi bado sielewi.nikija JF naambiwa yule mzee aliishi dar ila hawasemi alifany kaz gani hapo dar
Ila nikisom google wanasema alifanya biashara huko maeneo ya Goma na ndivo hata mobutu alijua hivo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mpaka leo wana makazi hapa na wamemwacha binti mmoja yuko hapa
 
Yeye Mobutu kwanini aliruhusu wanajeshi waliopinduliwa na Kagame kukimbilia Congo na kuruhusu waanze kuweka trainings camps kisha kuanza kushambulia Rwanda then wanakimbilia Congo?

Au Mobutu alitumwa na mabeberu kufanya hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…