Jean-Paul Mobutu: Mtoto wa Kwanza wa Mobutu Sese Seko aliyetazamiwa kuwa Rais wa tatu wa DR Congo

Jean-Paul Mobutu: Mtoto wa Kwanza wa Mobutu Sese Seko aliyetazamiwa kuwa Rais wa tatu wa DR Congo

Duh! Mkuu huyu Mzee ambaye alimkabidhi Lumumba kwa kina Tshombe akauwawa huko Katanga kwa usimamizi wa mabeberu huyu huyu aliyechangia kudhoofisha harakati za ukombozi huku kusini mwa Africa akisaidiana na makaburu huyu huyu anayetajwa kuwa fisadi mkubwa kuwahi kutokea Africa leo unasema aliipenda Congo kweli!
wana laana hawa nimeuliza exact point walimuulia pale mji unaitwa Likasi about 120 kms from Lubumbashi watu hawajui sababu moise shombee na wabelgiji walimtia kwenye acid asiache alama kama osama "shrine".kumbukumbu iliyobak kumbukumbu pale ni sehemu walikotoa uranium ya hiroshima na nagasaki ukifika wameziba kwa zege kubwa sana
 
Ndio mkuu
Ni mtoto wa bobi ladawa. Alikimbia nadhani sababu alichukia kufukuzwa kazi na kabila, waligombana

Sent using Jamii Forums mobile app
josef ni muhuni alimwita drc amtumie tu kwenye uchaguzi wa 2006 kumpunguza nguvu jean pierre bemba sababu wanatoka sehemu moja ya equateur(north) na nzanga wanampenda sana
 
Hahaa mkuu mimi bibi yake mama yangu ana elements za huko kwa kina mobutu kabila lao ni kasai ... so najua baadhi ya mambo kiasi kuhusu watu/viongozi wa congo " kuhusiana na habari zao za witchcraft ..so huyo mobutu hauwezi kumtoa kwenye hizo drama maana na yeye nimfuasi mzuri wa hayo mazingaombwe

Sent using Jamii Forums mobile app
unajua sifa za wakasi
1.wapenda uchawi sana
2.tamaa mkikuyu haoni ndani
3.kupenda kutawala(esprit ya domination)
Nb Tshishekedi naye ni member wa kikasai
 
Mkuu baba halisi wa joseph kabila ni swala gumu lina ulakini sababu kuna stori kibao,wapo wanaosema alikua mrwanda huko katika jeshi la msituni nk

Ila tukimchukulia laurent kabila ambaye ndiye official baba ake joseph kabila.huyu hakuwa mwanajeshi. Enzi za miaka ya 60 alikua ni guerrilla tu anaendesha kakikundi ka msituni ambako kalifutwa na mobutu

Baada ya hapo wana jamiiforum wanadai alikuja bongo.ila kwa mujibu wa mobutu ni kuwa mzee kabila alikua anafanya biashara huko goma

Mwanzo mobutu alipopewa taarifa za vita akiwa ulaya alijibu "yule sio kitu,ni mfanyabiashara huko maeneo ya goma na kadhalika" alijibu akiwa anashauriwa na mwanasheria wake juu ya hali mbaya ya nchi kiusalama

So kwa kifupi mkuu baba halisi wa kabila ni vigumu kumjua kuna stori kibao.hata mama ake kabila alimpa sumu mzee laurent kabila ile siku kabila anapigwa risasi yule mama alikua jera

Sent using Jamii Forums mobile app
bro hizo ni stori za mtaani tu,josef ana mdogo wake (Zoe) copy naye ni dogo tu kazaliwa hapa dar
 
Ila Mobutu alikuwa millionea jamani,watoto wake wote wamesoma Ulaya na Marekani kuanzia primary mpaka vyuo.Birthday zilikuwa zinafanyika kwenye makasri ya Mobutu Ufaransa.Ila jamaa alijisahau mpaka mwisho wake ukawa mbaya.
Hakuwahi kua na akili huyo Muuaji Mobutu.
 
Taarifa ya habari ikitaka kuanza kwny TV ilikua lazima ionyeshwe Mobutu akishuka kutoka Mbinguni.
 
bro hizo ni stori za mtaani tu,josef ana mdogo wake (Zoe) copy naye ni dogo tu kazaliwa hapa dar
Kwahiyo kabila mkubwa ni kweli aliishi dar ? Na alikua anafanya shughuli gani hapo dar ? Maana mimi bado sielewi.nikija JF naambiwa yule mzee aliishi dar ila hawasemi alifany kaz gani hapo dar
Ila nikisom google wanasema alifanya biashara huko maeneo ya Goma na ndivo hata mobutu alijua hivo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo kabila mkubwa ni kweli aliishi dar ? Na alikua anafanya shughuli gani hapo dar ? Maana mimi bado sielewi.nikija JF naambiwa yule mzee aliishi dar ila hawasemi alifany kaz gani hapo dar
Ila nikisom google wanasema alifanya biashara huko maeneo ya Goma na ndivo hata mobutu alijua hivo

Sent using Jamii Forums mobile app
mpaka leo wana makazi hapa na wamemwacha binti mmoja yuko hapa
 
Mabutu aliuza nchi.. drc inahitaji umoja na busara.. uoienda kwa pupa wenye mali zao hawakawii..

Inasemekana hata kagame alisaidiwa sana na marekani kuingia madarakani.. ili awe chambo ya kustabilize drc.

Kwa sasa siasa za bush zimepitwa na wakati inahitajika diplomass zaidi na kwa namna ninavyo ona tshekedi atawatoa


Africa tunahitaji kubadilisha viongozi tena kila baada ya miaka 3 ili wazungu wasimzoee.

Wakisha kuzoea hata kama ni mkali unakuwa kama simba jike lazima akubaki kuzaa pamoja na ukali wake.



Sent using Jamii Forums mobile app
Yeye Mobutu kwanini aliruhusu wanajeshi waliopinduliwa na Kagame kukimbilia Congo na kuruhusu waanze kuweka trainings camps kisha kuanza kushambulia Rwanda then wanakimbilia Congo?

Au Mobutu alitumwa na mabeberu kufanya hivyo.
 
Back
Top Bottom