Mkuu baba halisi wa joseph kabila ni swala gumu lina ulakini sababu kuna stori kibao,wapo wanaosema alikua mrwanda huko katika jeshi la msituni nk
Ila tukimchukulia laurent kabila ambaye ndiye official baba ake joseph kabila.huyu hakuwa mwanajeshi. Enzi za miaka ya 60 alikua ni guerrilla tu anaendesha kakikundi ka msituni ambako kalifutwa na mobutu
Baada ya hapo wana jamiiforum wanadai alikuja bongo.ila kwa mujibu wa mobutu ni kuwa mzee kabila alikua anafanya biashara huko goma
Mwanzo mobutu alipopewa taarifa za vita akiwa ulaya alijibu "yule sio kitu,ni mfanyabiashara huko maeneo ya goma na kadhalika" alijibu akiwa anashauriwa na mwanasheria wake juu ya hali mbaya ya nchi kiusalama
So kwa kifupi mkuu baba halisi wa kabila ni vigumu kumjua kuna stori kibao.hata mama ake kabila alimpa sumu mzee laurent kabila ile siku kabila anapigwa risasi yule mama alikua jera
Sent using
Jamii Forums mobile app