ngalelefijo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 3,966
- 2,596
Kawimbo katamu hasa uwe uko peke yako na safari ya baridi .uko na fegi sm na binti mnene mweupe anakupa story mbili tatu.humvizii lknaise kuna mmoja hapa nimeupata wanamsifia kweli ni tp ok jazz nyimbo tamu sana huku nakunywa na bia kidogo...
Jamaaa inaonekana alikuwa mwanaume kweli...
Mzee Magu anasubili...
Walitoa album nzima ya kumsifiaaise kuna mmoja hapa nimeupata wanamsifia kweli ni tp ok jazz nyimbo tamu sana huku nakunywa na bia kidogo...
Jamaaa inaonekana alikuwa mwanaume kweli...
Mzee Magu anasubili...
Alikua anatembea na bag la kuburuza limejaa pesaYule alikuwa ni bilionea hata kwa hizo USD
Mkuu ninasoma enterview huko google,Mkuu haya madini yote ujayatolea wapi kama ni kwenye kitabu naomba jina la kitabu huska
Kawimbo katamu hasa uwe uko peke yako na safari ya baridi .uko na fegi sm na binti mnene mweupe anakupa story mbili tatu.humvizii lkn
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani kwa nyerer ilikuwaje?Huyo si ndo mtoto wa Bobi Ladawa,tena kamuoa dada yake JP Bemba, kwa nini kakimbilia Marekani?Tatizo Mobutu alijisahau mno, angeshtuka mapema akang'atuka kama alivyofanya Nyerere. Yote yaliyomkuta yasingemkuta.
Mkuu ninasoma enterview huko google,
Pia naangalia videos youtube.vitabu vipo ila nimesoma summary ya kimoja kinaitwa a la cour de mobutu kimeandikwa na pierre jansen huyu alimuoa binti ya mobutu pia vipo vitabu kibao.tatizo sina pesa ya kuvinunua huko mtandaoni
Vingine kaandika yeye mobutu
Ila kwa haraka haraka ingia youtube search major ngani utaona interview ya head of security wa mobutu ina subtitle ya english
Huyu alikaa na mobutu kwa miaka 23.
Ukitaka kusoma search jina la mobutu utakuta mengi.article zingine za kifatansa itabidi utumie google translate
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu walikuwa wanamuabudu walikuwa wanaimba anaesema Mobutu atakufa ni Muongo, Mobutu ataishi milele.
Mkuu baba halisi wa joseph kabila ni swala gumu lina ulakini sababu kuna stori kibao,wapo wanaosema alikua mrwanda huko katika jeshi la msituni nkBig up kwa uzi kiserereka bila kubadilika. Jf **** nyuzi zinabadilika hadi zinampoteza mleta uzi.
Alifaidi sana mkuuKumbe hakuwa mbali kwa mambo yetu yale.
Hakika jamaa alikuwa na maisha mazuri na ameyafaidi sana ingawa ilikua ni zamani huko...
Alifaidi sana mkuu
Mtu alilala kitanda cha umeme ukibonyeza remote kinatoka sakafuni kinakuja na muziki huku maji yakitawanyika kukipisha.ngoja nikiweke hapa ukione
Japo kimezama sababu nyumba iliharibiwaView attachment 1004928
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo hukosi papuchi yoyote
Wanae wamelizilakwenye hilo kasiri lake hakuna mtu aliejitolea kukaa hapo au limefanywa jumba la ukumbusho na ulinzi mkali vilevile
Wanae wamelizila
Mobutu aliondoka hapo 16/3/1997 saa 11 alfajiri
Huku wanajeshi wa kikosi cha walinzi wake wakiwa wanakuja hapo kumteka
Sasa walipofika na kumkosa wakaanza kuiba palikua na furniture za bei mbaya nyingi za dhahabu .pia wananchi wakaiba so palibaki hakuna kitu na kila siku mpaka sasa watu wanaiba tu vitu
Wanae hakuna hata mmoja aliyekuja kupakarabati
Hapo panaangaliwa na wananchi tu ndio wanalipisha pesa wageni kutoka kila kona ya dunia wanaokuja kupaona.
Mobutu alikua na nyumba 11 zaire so hata ukisema uzikarabati ni ghalama mkuu.na huezi ishi zote
Moroco,monaco,s africa,cote devour,uswizi ,ureno,nk kote alikua na majumba
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna vitu kama vile sanamuAise hatari sana na kwa sasa hao wananchi wanaiba vitu gani hasa ilihali nyumba inaonesha kabisa imechoka kabisa...
Kuna vitu kama vile sanamu
Nadhani umewahi kuona yale ma sanamu ya wachina hua yanauzwa bei mno.yanakua na rangi nyeupe yapo mawili hapo ya simba.yalikua manne mawili yameibiwa yaliyobaki mawili moja kichwa kimeibiwa hivi karibuni
Pia kuna hizi nyumba za kisasa wanaweka vitofali fulani vya marumaru.yeye mobutu alivijaza hapo.siku hizi ndio watu wanaviweka hata huku bongo so wacongo wanaiba wwanapeeka kwao. Ni vitofali bei sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbn hujamalizia storyHuku tukiwa tumeshuhudia uapishwaji wa mtoto wa tshisekedi kuwa rais wa congo. Ni vyema kujikumbusha baadhi ya mambo ya kiti cha urais wa congo
Aliwahi kuwepo kijana wa kwanza wa Marechal Mobutu Sese Seko aliyeitwa JEAN PAUL NIWA aliyeandaliwa na baba yake kuja kuwa rais wa pili wa zaire na wa tatu congo (baada ya kassavubu aliyekuwa wa kwanza,alifuata Mobutu )
Mobutu alimpenda sana Niwa si kwa vitendo tu bali hata maneno.katika moja ya barua mobutu aliyomtumia Niwa aliandika "kipenzi changu jean paul"
Bali na Mobutu kumuandaa Niwa kuiongoza Zaire pia alimuandaa kuwa mkuu wa ukoo na kiongozi wa familia,alimpa jukumu la kuifariji familia wakati wa matatizo ambapo Mobutu alikua mbali na nyumbani
Mobutu aliwahi kumshauri niwa katika moja ya barua alizomtumia
"Ninaamini sàsa upo katika umri wa kuelewa baadhi ya mambo,nakushauri kuwa makini sana na ndugu wa ukoo wetu maana wamekua wakitusaliti eitha moja kwa moja au kivingine, kuwa makini sana na mahusiano nao.
"Unachoona usoni kwa watu mara nyingi sio kilicho myoni mwAo"
Niwa kwa haraka haraka anaonekana Alikua kijana mstaarAbu aliyefuata nyayo za baba yake
KIFO
Matumaini ya Mobutu ya kuona mwanae akiiongoza Zaire yalikatishwa na kifo cha nyiwa mwanzoni mwa miaka ya 90
View attachment 1004662View attachment 1004663View attachment 1004664View attachment 1004667View attachment 1004668
Sent using Jamii Forums mobile app
Imeishia hapo mkuu
Sawa kabisa bwn lucas mobutu....nimekupataAlikua anatembea na bag la kuburuza limejaa pesa
Katika moja ya likizo zake huko marekani wakati wa kulipa bill alikuja msaidizi wake akatoa dollars zaidi ya million 2 mpya mpya
Ila mobutu anasifika kwa roho nzuri ukimuomb pesa anakupa,amewahi kumpa mtangazaji mmoja kofia yake
Mtangazaji aliipenda akaogopa kusema,kuna mwenzie akamwambia mobutu,mobutu akampa yote yot
Sent using Jamii Forums mobile app
MhuuuuumNatamani kukujua @victoire