Jean-Paul Mobutu: Mtoto wa Kwanza wa Mobutu Sese Seko aliyetazamiwa kuwa Rais wa tatu wa DR Congo

Asante kwa elimu mkuu, ila muda ni kitu kizuri sana hakuna lenye mwanzo lisilo na mwisho.
 
Mkuu Mobutu hakua mkasai alikua Kabila la mngala toka jimbo la equatorial ,uliza vzr ,samahani lkn km nimekosea nisahihishe
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole yake. kwani watoto wake walikufa wote?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
VIP na uwanja wa ndege alio jenga chato na majengo yake ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Una maanisha gbadolite ?
Ule uwanja upo unaitwa Moanda international Airport
Uliibiwa kila kitu yamebaki majengo tu na hayafanyi kazi. Hivi sasa unatumiwa sana sana na UN kwa shughuli zao za kupeleka misaada
Majengo ya mobutu yapo tu moja lililokua kama ikulu wanakaa wanajeshi mengine yameota nyasi baadhi yalikua mapya kabisa ndio yanamaliziwa kujengwa
Ila umeme haupo tena kama wakati wa mobutu maana serikali ya kabila haifanyi matengenezo vyanzo vya umeme.watu hawana ajira tena kama ilivokua wakati wa mobutu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante mkuu ukirudi usisahau vumbi la Zaire
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…