Jean-Paul Mobutu: Mtoto wa Kwanza wa Mobutu Sese Seko aliyetazamiwa kuwa Rais wa tatu wa DR Congo

Kabila hakua mcongoman ngoja tuone huyu felie kama atawaunganisha wacongo pamoja na kusimamia rasilimali vyema na kurudisha congo yenye neema, arudishe congo ambayo tutakwenda kutembea tena na kulala kwa amani
Well said mkuu
Hiyo nchi naipenda sana. Natamani jamaa aibadili na jina
Ngoja tusubiri tuone ana nini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Felie kasema anataka congo moja, kuboresha maisha ya wacongo wote ikiwapo huduma za kijamii, ukumbuke felix hakuwahi kuijua shida ni mtoto wa kinshasa kwa kuzaliwa ukiacha kijijini kwa babu zake, yale aliyoahidi kwenye kampeni ndio bado anatilia mkazo
 
aise kuna mmoja hapa nimeupata wanamsifia kweli ni tp ok jazz nyimbo tamu sana huku nakunywa na bia kidogo...

Jamaaa inaonekana alikuwa mwanaume kweli...

Mzee Magu anasubili...


Kusubiri kwa lipi?
 
Kundi la akina fayulu na moise katumbi plus jp bemba bado litamsumbua maana ni kundi la wafanyabiashara wakubwa wa DRC labda wafanye muafaka maalumu kwa mustakabali wa congo japo chenga kabila aliyoipiga dunia ni chenga Matata sana na ilikua strategy felix kujiunga na ule umoja na baadae akajitoa maana alienda kuchota siri zao tu kwenye vikao vyao vyote vya siri
 
Akijipanga ataweza
Naskia betri za gari za umeme raw materials yanatoka congo so congo yaweza kuwa dubai

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu mzee angeipenda Drc (Zaire ya zamani) kama alivyompenda mwanae leo ingekua nchi ya mfano mwema hapa Africa.
Hahaha mkuu
Aliipenda ila tatizo pesa alikua hawezi kujibana.bank kuu ya zaire aliifanya kama mpesa yake
Ila mwisho alisema hivi "hata wa kwangu wananilenga na bunduki,sina tena cha kuifanyia hii nchi" then akakaa kimya .alikua kwenye ndege anaenda uhamishoni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekusoma toka page 1 mpaka mwisho nimepata kitu kichwani kuhusu Zaire, vp we hujawahi fika huko au unaishi huko?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…