Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
- Thread starter
- #141
Well said mkuuKabila hakua mcongoman ngoja tuone huyu felie kama atawaunganisha wacongo pamoja na kusimamia rasilimali vyema na kurudisha congo yenye neema, arudishe congo ambayo tutakwenda kutembea tena na kulala kwa amani
Hiyo nchi naipenda sana. Natamani jamaa aibadili na jina
Ngoja tusubiri tuone ana nini
Sent using Jamii Forums mobile app