Jean-Paul Mobutu: Mtoto wa Kwanza wa Mobutu Sese Seko aliyetazamiwa kuwa Rais wa tatu wa DR Congo

Jean-Paul Mobutu: Mtoto wa Kwanza wa Mobutu Sese Seko aliyetazamiwa kuwa Rais wa tatu wa DR Congo

kuanzia dkk 15 na sekunde 15 kuna gitaa inapigwa hapa hatari yaani unaweza usione raha ya mwanamke kitandani...

Huyu luambo luanzo makiadi hatari sana na bendi yake...
Tutumie huo wimbo humu JF
 
Uko sahihi mkuu
Hapo ndipo alikosea.
Kuhusu mabeberu pia upo sahihi.

Kuna siri alimpa bodyguard wAke mwaka 1997 baada ya kupinduliwa.waliongea wawili tu chumbani.mpaka leo sijaona mahali jamaa akiiongelea wazi alisema tu Mobutu alimwambia mengi ikiwapo hiyo siri ambapo Mobutu alitapeliwa/kuingizwa mkenge na mabeberu
Siku nikimpata jamaa nitamuuliza kama atasema nita share humu mazungumzo yao hayo ambayo Mobutu hakutaka watu wengine wayasikie akawafukuza

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwani wewe na familia ya Mobutu mkoje mbona unaongea kana kwamba unaweza kuwa access hao Watu so easily?
 
Absolutely,kwa marais wa Ki-Africa na sio Africa hata kwa marais wa duniani huko bado jamaa ni the don tu.

Kuna kipindi Forbes walikamkadiria kua na utajiri wa $500mil,kitu ambacho si kweli.

Jamaa wako na pesa kuliko hio amount iliyotajwa hapo.
Mbona inasemwa raila ni tajiri mno kuliko kenyta
 
Hahaa kwenda kwake kanisani ilikuwa ni kutafuta sympathy tu katika jamii na kuwateka watu kifikira sio kweli kwamba alikuwa na imani ya dhati kwa mungu .. mtu atoaye watu kafara na mungu ni wapi na wapi !?

Sent using Jamii Forums mobile app
Na kama alienda kanisani na mabaya yote aliyokuwa nayo basi makanisa hayana tofauti na choo maana hayagawanyishi uchafu.
 
Aliugua mwaka 1996 ugonjwa ukazidi akaenda uswizi kwa ajili ya operation huku nyuma majenerali wakamsaliti mfano gen mayele aliyekua waziri wa ulinzi .so kina kabila na museveni pamoj na kagame wakavamia zaire.
Baada ya operesheni mobutu akaenda nyumbani kwake ufaransa then akarudi zaire alipopata nafuu then akaondoka akarudi 1997 hali ikiwa mbaya.yaliyofuata nimeshayafungulia uzi usome mkuu nimeyaeleza kwa details.ila inshort kila mtu alimsaliti plus kuugua
Uzi uko jukwaa lipi mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Soma hoja zangu hapo juu mkuu utanielewa. But yes somehow i like the man kiasi kwamba inakua na influence kwenye hoja zangu.but nimeandika hapo juu hoja za maana unaweza kuziangalia.huyo mkuu alikua hajanielewa tu logic yangu
Mkuu ungewaacha ukaendelea.
 
lucas mobutu nasikia Shishekedi Rais mpya huyu aneugua ghafra wkt anahutubia fuatilia km ni kweli nijuze mkuu
Ni ukweli aliugua ghafla akiwa anahotubia .alianza kurudia rudia maneno. Akawahishwa kwa daktari wake na mambo yakawa sawa
 
Hayajawa sawa basi km ndio hivyo nilijua amekufa uchaguzi urudiwe
Hahaha!!!
Mkuu angekufa kungechafuka huko.hao watu hua hawachelewi kukichafua.
Alivokufa kabila zilifuatia kesi kibao za watu kunyongwa
 
[emoji23]mkuu katika barua ile hakusema ni kafara gani.si unajua kuna za mbuzi,ng'ombe hata kuku

But nadhani kanisani alienda kwa imani kwani toka akiwa kijana alilichukia kanisa akaacha na kwenda

Alienda baadaye sana.sijui nani alimshauri.ila aliwahi kukaa miaka bila kwenda kanisani sababu akiwa mwanafunzi alikatishwa masomo na ma padre na kumpeleka jeshini kama adhabu maana alitoroka shule akaenda ku spend week nzima na demu huko kinshasa

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kumbe mapadre ndo walimpa maisha kaenda jeshini katusua angebaki huko mission angeishia kuwa kasisi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kumbe mapadre ndo walimpa maisha kaenda jeshini katusua angebaki huko mission angeishia kuwa kasisi

Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa
Au angekua mtu wa kawaidA sana.alivoachana na jeshi akawa mwandishi wa habari then akarudi jeshini
 
Muuaji tu huyu mbwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Mabutu adhabu ya chini akikuita ikulu ni pasi ya mgongoni tu. Baba yake raisi wa sasa kapigwa pasi na mmoja bado yuko hai mpaka leo alikuwa gavana wa katanga anaitwa Kyungu wa Kumwanza aka baba wa katanga ambaye sasa ni mkuu wa bunge la kitaifa (l'assemblee nationale)
 
Back
Top Bottom