ankai
JF-Expert Member
- Nov 25, 2017
- 3,282
- 4,251
Kaka naomba link yake tafadhali ili na mimi niusome na kufaidi hayo uliyo yaelezea umo ndani!!Unaitwa majaribio ya kumuua mobutu
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaka naomba link yake tafadhali ili na mimi niusome na kufaidi hayo uliyo yaelezea umo ndani!!Unaitwa majaribio ya kumuua mobutu
Tutumie huo wimbo humu JFkuanzia dkk 15 na sekunde 15 kuna gitaa inapigwa hapa hatari yaani unaweza usione raha ya mwanamke kitandani...
Huyu luambo luanzo makiadi hatari sana na bendi yake...
Mkuu kwani wewe na familia ya Mobutu mkoje mbona unaongea kana kwamba unaweza kuwa access hao Watu so easily?Uko sahihi mkuu
Hapo ndipo alikosea.
Kuhusu mabeberu pia upo sahihi.
Kuna siri alimpa bodyguard wAke mwaka 1997 baada ya kupinduliwa.waliongea wawili tu chumbani.mpaka leo sijaona mahali jamaa akiiongelea wazi alisema tu Mobutu alimwambia mengi ikiwapo hiyo siri ambapo Mobutu alitapeliwa/kuingizwa mkenge na mabeberu
Siku nikimpata jamaa nitamuuliza kama atasema nita share humu mazungumzo yao hayo ambayo Mobutu hakutaka watu wengine wayasikie akawafukuza
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona inasemwa raila ni tajiri mno kuliko kenytaAbsolutely,kwa marais wa Ki-Africa na sio Africa hata kwa marais wa duniani huko bado jamaa ni the don tu.
Kuna kipindi Forbes walikamkadiria kua na utajiri wa $500mil,kitu ambacho si kweli.
Jamaa wako na pesa kuliko hio amount iliyotajwa hapo.
Na kama alienda kanisani na mabaya yote aliyokuwa nayo basi makanisa hayana tofauti na choo maana hayagawanyishi uchafu.Hahaa kwenda kwake kanisani ilikuwa ni kutafuta sympathy tu katika jamii na kuwateka watu kifikira sio kweli kwamba alikuwa na imani ya dhati kwa mungu .. mtu atoaye watu kafara na mungu ni wapi na wapi !?
Sent using Jamii Forums mobile app
Inamaana na wewe ile dhahabu uliona harafu ukawa unaiangalila tuUvuke gisenyi kuingia Goma uangalie ile dhahabu utabaki unalia hapo hujagusa ardhi za uvira, kalemi, manyema yaani wakongo ni watu wa kusikitikiwa na kuombewa aseeeee
Uzi uko jukwaa lipi mkuuAliugua mwaka 1996 ugonjwa ukazidi akaenda uswizi kwa ajili ya operation huku nyuma majenerali wakamsaliti mfano gen mayele aliyekua waziri wa ulinzi .so kina kabila na museveni pamoj na kagame wakavamia zaire.
Baada ya operesheni mobutu akaenda nyumbani kwake ufaransa then akarudi zaire alipopata nafuu then akaondoka akarudi 1997 hali ikiwa mbaya.yaliyofuata nimeshayafungulia uzi usome mkuu nimeyaeleza kwa details.ila inshort kila mtu alimsaliti plus kuugua
Uko jukwaa lipi,..kama hautajali_weka link mkuuUnaitwa majaribio ya kumuua mobutu
Mkuu ungewaacha ukaendelea.Soma hoja zangu hapo juu mkuu utanielewa. But yes somehow i like the man kiasi kwamba inakua na influence kwenye hoja zangu.but nimeandika hapo juu hoja za maana unaweza kuziangalia.huyo mkuu alikua hajanielewa tu logic yangu
Ni ukweli aliugua ghafla akiwa anahotubia .alianza kurudia rudia maneno. Akawahishwa kwa daktari wake na mambo yakawa sawalucas mobutu nasikia Shishekedi Rais mpya huyu aneugua ghafra wkt anahutubia fuatilia km ni kweli nijuze mkuu
Hayajawa sawa basi km ndio hivyo nilijua amekufa uchaguzi urudiweNi ukweli aliugua ghafla akiwa anahotubia .alianza kurudia rudia maneno. Akawahishwa kwa daktari wake na mambo yakawa sawa
Hahaha!!!Hayajawa sawa basi km ndio hivyo nilijua amekufa uchaguzi urudiwe
Shida ilikuwa kama ya kikwete alipoanguka jukwaani,UCHOVU au MALAISENi ukweli aliugua ghafla akiwa anahotubia .alianza kurudia rudia maneno. Akawahishwa kwa daktari wake na mambo yakawa sawa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kumbe mapadre ndo walimpa maisha kaenda jeshini katusua angebaki huko mission angeishia kuwa kasisi[emoji23]mkuu katika barua ile hakusema ni kafara gani.si unajua kuna za mbuzi,ng'ombe hata kuku
But nadhani kanisani alienda kwa imani kwani toka akiwa kijana alilichukia kanisa akaacha na kwenda
Alienda baadaye sana.sijui nani alimshauri.ila aliwahi kukaa miaka bila kwenda kanisani sababu akiwa mwanafunzi alikatishwa masomo na ma padre na kumpeleka jeshini kama adhabu maana alitoroka shule akaenda ku spend week nzima na demu huko kinshasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa[emoji23] [emoji23] [emoji23] kumbe mapadre ndo walimpa maisha kaenda jeshini katusua angebaki huko mission angeishia kuwa kasisi
Sent using Jamii Forums mobile app
MkuuShida ilikuwa kama ya kikwete alipoanguka jukwaani,UCHOVU au MALAISE
Hali ya jumla kuhisi homa,uchovu,baridi au general bodily discomfort. Ni kifaransa but adopted in english alsoMkuu
Malaise ni nini ?
Mabutu adhabu ya chini akikuita ikulu ni pasi ya mgongoni tu. Baba yake raisi wa sasa kapigwa pasi na mmoja bado yuko hai mpaka leo alikuwa gavana wa katanga anaitwa Kyungu wa Kumwanza aka baba wa katanga ambaye sasa ni mkuu wa bunge la kitaifa (l'assemblee nationale)