round kick
JF-Expert Member
- Feb 3, 2025
- 933
- 3,051
Tajiri TRA kama unalipwa 12M, basi katika nafasi uliyopo jua dili moja zidisha mara 20 ya mshahara, yani hao kuvuta 100M /200 M kwa mwezi ni kugusa.Mishahara yao ya kawaida. Sio hela nyingiii. Ukilinganisha na majukumu yao
Kama hizi taarifa ni sahihi basi usimwamin mtu kwenye kusema ukweli juu ya kipato chake
Mleta hoja ameongelea mishahara ya TRA. Hajaongelea mambo ya diliTajiri TRA kama unalipwa 12M, basi katika nafasi uliyopo jua dili moja zidisha mara 20 ya mshahara, yani hao kuvuta 100M /200 M kwa mwezi ni kugusa.
Wana allowancce zingine on top of that, kuna mtu ndani ya TRA alisema wanapewa
hiki ulichoweka hapa ni uongo wa hali ya juu sana.
huyu naye alikudanganya bado haiko hivyo.Wana allowancce zingine on top of that, kuna mtu ndani ya TRA alisema wanapewa
- Housing allowance
- Fuel alllowance
- Sikukuu allowance
- Lunch allowance
- Communication allowance
- Nyingine nimesahau
Alisema wanalipwa kama wale wa procurement, hazina nkhuyu naye alikudanganya bado haiko hivyo.
kakudanganya.Alisema wanalipwa kama wale wa procurement, hazina nk
Madaraja yote hayo ya kazi gani stupid sisiemu