Jedwali kamili la mishahara ya wafanyakazi wa TRA, Loooh !! 😋😋

Jedwali kamili la mishahara ya wafanyakazi wa TRA, Loooh !! 😋😋

Kibongo Bongo hy 400k n nyingi sana, ila kwakuwa hapa JF watu ni matajiri wa keyboards bc wanaiona n mshahara wa kawaida.
Hiyo mishahara ni mikubwa.

Maana hao wa kuanzia 7M kwa TRA pia sio wengi. Majority wako kati ya 3.5 -5M. Hii ni middle ranks
 
Muheshimu mkulima kijana

Mkulima anaweza ingiza 40M kwa wiki tu
 
Hivi mtu akisoma masomo ya arts anaweza omba course gani TRA
 
Back
Top Bottom