Jedwali kamili la mishahara ya wafanyakazi wa TRA, Loooh !! 😋😋

Jedwali kamili la mishahara ya wafanyakazi wa TRA, Loooh !! 😋😋

Mishahara yao ya kawaida. Sio hela nyingiii. Ukilinganisha na majukumu yao
Sure???

12mill siyo hela nyingi kwa mtu aliye kitengo cha kukutana na fursa za hela kila siku?hiyo hela ukiniambia analipwa daktari nitaiona siyo nyingi lakini kwa hao ninaokutana nao kila mara kupokea hiyo pesa ni nyingi sana.
 
Hapo TRA hao wenye mishahara ya milioni 12 hawafiki watu 10 katika wafanyakazi zaidi ya 3000.

Wakati ukisogea bank ndogo tu kama Absa yenye staff wachache unawakuta watu wanaolipwa zaidi ya hiyo milioni 12 wapo wengii kuliko hapo TRA yenye staff maelfu
 
Cc Saveya, BALENSIAGA.

Screenshot_20250311_170213_Telegram.jpg
 
Mm nilidhani wanapewa milioni 10+ kwa mwezi. Kumbe wanalipwa fedha kiduchu namna hii!!!?

Walimu wa Feza, IST na Aga Khan schools wako juu kwa mishahara kuliko maafisa wa TRA
Na wewe unapewa ngapi hapo halmashauri ya uyuwi?
 
Back
Top Bottom