Azim Sokoine
JF-Expert Member
- Aug 20, 2014
- 1,488
- 2,762
😆 dahNa wewe unapewa ngapi hapo halmashauri ya uyuwi?
😆 dahNa wewe unapewa ngapi hapo halmashauri ya uyuwi?
Wapuuzi ni wengi sana humu, hao hao wanaosema n pesa ya kawaida Ukiwaangalia vzr wana maisha magumu kinoma ila huku wanajikosha😂😂😂 Wanasema mbona hela ya kawaida JF bana.
Hahahahaha, 🤣Walimu wanabubujikwa na machozi wakiona huo mkeka mwalimu makutupora
Hiyo mishahara wengi kwanza hawaishobokei hawa pesa unawapelekea mwenyewe wakikutaiti kwenye kumi na nane zao wewe mwenyewe unaomba poo unagawa fungu kiroho safi..
Labda anamaanisha mkurugenzi mkuu wa Sheria wa TRA.Mkurugenzi mkuu wa tra ndo yukoje?
Mnadanganyana sana
Kabisa hiyo mishahara mizur kibongo bongo.Wapuuzi ni wengi sana humu, hao hao wanaosema n pesa ya kawaida Ukiwaangalia vzr wana maisha magumu kinoma ila huku wanajikosha
Ndo fashion siku hizi, kuwa matajiri wa mitandaoni.!Wapuuzi ni wengi sana humu, hao hao wanaosema n pesa ya kawaida Ukiwaangalia vzr wana maisha magumu kinoma ila huku wanajikosha
Hakuna sehemu watu hawapendani na wanapigana vikumbo kama halmashauriNa wewe unapewa ngapi hapo halmashauri ya uyuwi?
Commissioner mkuuMkurugenzi mkuu wa tra ndo yukoje?
Mnadanganyana sana
Majukumu gani zaidi?Mishahara yao ya kawaida. Sio hela nyingiii. Ukilinganisha na majukumu yao
Mbona ya kawaida sana sema kinachowabeba ni rushwa
Taarifa za kuokota mtandaoni na wewe ukaona uanzishie uzi. Pole
Hii siyo Mishahara ya TRA, ipo chini sana, hujui chochote tulia ndugu.
Wana allowancce zingine on top of that, kuna mtu ndani ya TRA alisema wanapewa
- Housing allowance
- Fuel alllowance
- Sikukuu allowance
- Lunch allowance
- uwongo mtupu.
Acha ushamba,vyeo serikalini kote muundo ni sawa.Madaraja yote hayo ya kazi gani stupid susiemu
Tumia akili wapi nimesema madaraja siyo sawa au ni sawasAcha ushamba,vyeo serikalini kote muundo ni sawa.