Jamaa kakurupuka na swaumu Yake huko KisijuMkurugenzi mkuu wa tra ndo yukoje?
Mnadanganyana sana
Lakini wanajenga Maghorofa GobaMishahara yao ya kawaida. Sio hela nyingiii. Ukilinganisha na majukumu yao
Mambo ya TRAT
Hujui chochote kuhusu madaraja, hakuna sababu yakupigizana kelele.Tumia akili wapi nimesema madaraja siyo sawa au ni sawas
Serikalini ? sikusema madaraja yote huko TRA tu kote selikalini madaraja yapunguzwe
Hakika...kazi za low profile local gvt ndio zimejaa watu wenye roho mbaya kupata dunia kutokea.Hakuna sehemu watu hawapendani na wanapigana vikumbo kama halmashauri
Endelea hapo kaka,hapo ulipo bora sana kuliko TRA.Sasa Kama scale ndio hizi mnanifanya nijifikirie mara mbili.
Mimi Nina 1.6M hapa nilipo lakini nimeomba kazi za TRA ambazo scale yake hapo ni TRA 4, 1.2M
Kwahiyo nitashuka laki 4?
Lakini hapa nilipo hakuna hata mia ya posho.
Sasa Kama scale ndio hizi mnanifanya nijifikirie mara mbili.
Mimi Nina 1.6M hapa nilipo lakini nimeomba kazi za TRA ambazo scale yake hapo ni TRA 4, 1.2M
Kwahiyo nitashuka laki 4?
Lakini hapa nilipo hakuna hata mia ya posho.
Hiyo 1.6M nimefika baada ya kufanya kazi miaka 12.Endelea hapo kaka,hapo ulipo bora sana kuliko TRA.
Ahsante mkuu, Ngoja nijaribu bahatiTRA kuna dili nyingi
Duh 2012 kuna jamaa alianza kazi sumatra alikuwa analipwa 1.53mHiyo 1.6M nimefika baada ya kufanya kazi miaka 12.
Nilianza kazi 2012, nikiwa na degree na mshahara wa laki 432,000/=
Ngoja nikimbie tu
Sasa deal atazijuaje?,au we tujuze deal zao zikoje na kiasi gani kwa mfano.Mleta hoja ameongelea mishahara ya TRA. Hajaongelea mambo ya dili
Duh hongera mkuu kumbe mshahara wa M sio mchezo.miaka 12.Hiyo 1.6M nimefika baada ya kufanya kazi miaka 12.
Nilianza kazi 2012, nikiwa na degree na mshahara wa laki 432,000/=
Ngoja nikimbie tu
Angekuwa tra sasa hivi angekuwa anakula 5mDuh hongera mkuu kumbe mshahara wa M sio mchezo.miaka 12.
😀linganisha na mishahara ya LGA, kwa utumishi wa umma, wanalipwa vizuri sana, na incentives zao ni zaidi ya mshaharaMishahara yao ya kawaida. Sio hela nyingiii. Ukilinganisha na majukumu yao