MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 7,285
- 13,703
Tanzania ni nchi maskini sana yaani mkurugenzi mkuu wa TRA fedha yake halali ni Dola 5. No wonder hatuwezi kuzuia Rushwa
Tanzania ni nchi maskini sana yaani mkurugenzi mkuu wa TRA fedha yake halali ni Dola 5. No wonder hatuwezi kuzuia Rushwa
Uongo huoTajiri TRA kama unalipwa 12M, basi katika nafasi uliyopo jua dili moja zidisha mara 20 ya mshahara, yani hao kuvuta 100M /200 M kwa mwezi ni kugusa.
Kwa hiyo mwasibu unaamini hilo bandiko la uongo?Nilikuwa nashangaa TRA mbona wanakuwa na njaa sana. Kumbe salary ya kawaida hivyo
Kilitokea nini hapo kwake usiku hadi aombe transfer tupe full story mkuu au ulitaka kumuuaKuna mmoja namfahamu aliwah niandikia faini ya milioni 5. Ili aifute nitoe 1m, nikamwambia we andika tu hyo faini. Kwa hasira akaiandika kweli, baada ya siku mbili nkamfata kwake usiku, mbona aliomba na transfer ahamishwe mkoa.
Naomba kuuliza hapo ndugu kwenye mwajiriwa kupanda vyeo kila baada ya miaka mitatu kinachozingatiwa ni nini wanaconsider level ya elimu ama ni ukishajiliwa ni unapanda vyeo baada ya huo muda haijarishi elimu uliyoingia nayo ama kwa kila ngazi za elimu kuna mwisho wa vyeo utakavyopandaHujui chochote kuhusu madaraja, hakuna sababu yakupigizana kelele.
Ila cha kukuongezea tu, serikalini siyo kama sekta binafsi , ndani ya miaka mi3 ushafanya kazi kampuni 4,wengi serikalini wanafanya kazi zaidi ya miaka 20, na kila baada ya miaka mitatu watu wanapanda vyeo, kwahyo kwa mtu aliyefanya kazi miaka 21 tu, inabidi awe amepitia vyeo karibia saba. Kwahiyo tuliza mchono ndugu.
Ukipata kazi Serikalini ingia tu kakaSasa Kama scale ndio hizi mnanifanya nijifikirie mara mbili.
Mimi Nina 1.6M hapa nilipo lakini nimeomba kazi za TRA ambazo scale yake hapo ni TRA 4, 1.2M
Kwahiyo nitashuka laki 4?
Lakini hapa nilipo hakuna hata mia ya posho.
Ukweli ni upiKwa hiyo mwasibu unaamini hilo bandiko la uongo?
Tra kuna Mkurugenzi mkuu?Ukweli ni upi
sawa.Uongo huo
Ukiona mtu anafanya kazi kampuni zaidi ya 4 kwa miaka mitatu inamaana salary yake pia inaongezeka. Ili umtoe alipo aje kwako lazima u double/triple mshahara. Mtu hawezi kukubali aache kazi mahala alipopazoea eti kwa ongezeko la laki tano.Hujui chochote kuhusu madaraja, hakuna sababu yakupigizana kelele.
Ila cha kukuongezea tu, serikalini siyo kama sekta binafsi , ndani ya miaka mi3 ushafanya kazi kampuni 4,wengi serikalini wanafanya kazi zaidi ya miaka 20, na kila baada ya miaka mitatu watu wanapanda vyeo, kwahyo kwa mtu aliyefanya kazi miaka 21 tu, inabidi awe amepitia vyeo karibia saba. Kwahiyo tuliza mchono ndugu.
Pole boss kimbia. Wengine Wanamiqka pungufu ya mitano lkn wanachukua mara mbili ya hio.Hiyo 1.6M nimefika baada ya kufanya kazi miaka 12.
Nilianza kazi 2012, nikiwa na degree na mshahara wa laki 432,000/=
Ngoja nikimbie tu
Uko sahihi mkuu. Na hapo hujagusa UBA, Stanbic na StanchatHapo TRA hao wenye mishahara ya milioni 12 hawafiki watu 10 katika wafanyakazi zaidi ya 3000.
Wakati ukisogea bank ndogo tu kama Absa yenye staff wachache unawakuta watu wanaolipwa zaidi ya hiyo milioni 12 wapo wengii kuliko hapo TRA yenye staff maelfu
Lakini wanaojenga magorofa ni vijana wa tra, 😀Hapo TRA hao wenye mishahara ya milioni 12 hawafiki watu 10 katika wafanyakazi zaidi ya 3000.
Wakati ukisogea bank ndogo tu kama Absa yenye staff wachache unawakuta watu wanaolipwa zaidi ya hiyo milioni 12 wapo wengii kuliko hapo TRA yenye staff maelfu
Njoo uone Mpwayungu VillageKibongo Bongo hy 400k n nyingi sana, ila kwakuwa hapa JF watu ni matajiri wa keyboards bc wanaiona n mshahara wa kawaida.
Pia wa bandari naye atupie hapaMwenye Jedwali kamili la mishahara ya wafanyakazi wa BOT !
Ni muongo hiyo labda ya mwaka 2018/2019Nyie mnaosema kuwa jamaa n muongo, ingependeza mkileta huo ukweli sasa na sio porojo tuu
Na wewe pia muongo