Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Hiyo mishahara ni mikubwa.Kibongo Bongo hy 400k n nyingi sana, ila kwakuwa hapa JF watu ni matajiri wa keyboards bc wanaiona n mshahara wa kawaida.
Maana hao wa kuanzia 7M kwa TRA pia sio wengi. Majority wako kati ya 3.5 -5M. Hii ni middle ranks