Jeff Leah: Yanga itafungwa 3-0 na Marumo na nina uhakika haitofuzu Fainal wala kuchukua kombe

Teko Modise

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
2,331
Reaction score
7,733
Mchambuzi nguli mwenye kujua vizuri kiingereza Goeff Leah kutoka sports headquarters Efm amesema ana uhakika Marumo atashinda tena goli kuanzia 3-0 na Yanga hatofuzu na hivyo ndoto za ubingwa zitaishia hapo.

Mimi kama mjumbe siuwawi, njooni mtoe ya moyoni, mtiririke na kuserereka
 
Mimi ni Simba, ila huyo jamaa huwa ni mnoko na elements za kichoko.

Huwa anapenda sana kuzipondea timu zetu zikicheza huko nje. Yaani huwa anapenda sana kupata kiki kwa kuona timu zetu za Kibongo hazina lolote.

Kila la kheri Yanga. Naumia, ila nawatakia mtoboe muende fainali.
 
Mchambuzi nguli mwenye kujua vizuri kiingereza Goeff Leah kutoka sports headquarters Efm amesema ana uhakika Marumo atashinda tena goli kuanzia 3-0 na Yanga hatofuzu na hivyo ndoto za ubingwa zitaishia hapo.

Mimi kama mjumbe siuwawi, njooni mtoe ya moyoni, mtiririke na kuserereka
Anajua kiingereza? Hajui kiingereza kabisa anachojua kiswangish,hayo mambo ya nani kufungwa tusubiri mpira ukiisha
 
Mchambuzi nguli mwenye kujua vizuri kiingereza Goeff Leah kutoka sports headquarters Efm amesema ana uhakika Marumo atashinda tena goli kuanzia 3-0 na Yanga hatofuzu na hivyo ndoto za ubingwa zitaishia hapo.

Mimi kama mjumbe siuwawi, njooni mtoe ya moyoni, mtiririke na kuserereka
Ajiandaeee......watamchoma moto ...ushabiki hivyo una hatari sana mbeleni
 
Ni maoni yake mchambuzi,
Huo siyo mtazamo wa Kocha Nabi na jeshi lake la ushindi.

1.Diarra

2.Kibwana

3.Lomalisa

4.Baka

5.Mwamnyeto

6.Aucho

7.Kisinda

8.Aziz

9.Mayele

10.Musonda

11.Ducapel

Sijawataja Mudathir, Djuma, Sureboy, Farid na wengine kwasababu wachambuzi uchwara wanaiombea mabaya Yanga wakati ukweli ni kwamba tumeshaingia fainali tukicheza na USM Alger.
 
Kuna mchambuzi wa jambo na mpenzi wa Jambo.
Mchambuzi ni yule anayelichambua Jambo katika sura zote mbili "za shilingi" na mpenzi wa jambo ni yule anayelielezea jambo kwa mapenzi yake anavyotaka yeye.
 
Kuna mchambuzi wa jambo na mpenzi wa Jambo.
Mchambuzi ni yule anayelichambua Jambo katika sura zote mbili "za shilingi" na mpenzi wa jambo ni yule anayelielezea jambo kwa mapenzi yake anavyotaka yeye .
Siku hizi hatuna wachambuzi tuna wapenzi wa kupendelea wanavyotaka wao.
 
Back
Top Bottom