Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Quality ni kigezo cha msingi chakuangliwa.Mkuu,
Hapa tunachozungumzia ni nini? Mimi ninachokikataa ni hoja ya Yanga kufungwa 3 mtungi. Ulisema tunapaswa kutazama takwimu na hizo nilizokuwekea ni takwimu za timu zote. Moja ikiwa nyumbani na nyingine ugenini.
Kisha, hatupaswi kuangalia ni nani mwenye quality kwa wapinzani waliopita bali kwa timu zote mbili.
Ukitaka kusema hivyo, unakosea sana. Maana yake ungetuaminisha kwa mfano mechi ya Man United Vs Sevilla. Man U alitoka kukutana na timu yenye ubora na kumchabanga Barca. Baadae akakutana na Sevilla, akaogeshwa za kutosha.
Hakuna cha Pyramids wala Nini, hapa ni Marumo vs Yanga.
Huwezi ukawa unajifananisha na timu ambayo inafunga timu kubwa zenye proffesional players na timu ambayo inafunga regular clubs kuwa ni sawa.
Mfano angalia tu katika hizo timu zote ambazo Yanga amekutana nazo, ni timu gani ambayo ilikuwa inapeleka pressure kwenye lango la Yanga kama Marumo tena Yanga akiwa nyumbani?
Angalia nafasi walizotengeneza Marumo halafu fananisha na timu zingine ambazo Yanga alikutana nazo utaona hizo timu zilikuwa na ubora sawa na Marumo?