Jeff Leah: Yanga itafungwa 3-0 na Marumo na nina uhakika haitofuzu Fainal wala kuchukua kombe

Jeff Leah: Yanga itafungwa 3-0 na Marumo na nina uhakika haitofuzu Fainal wala kuchukua kombe

Hoja ni moja tu.

Katika hizo timu alizocheza nazo Yanga ni nani mwenye Quality ya kuikia Pyramids?

Watu wameangalia uzito wa wapinzani ambao Marumo wamekutana nazo, ebu niambie mwenyewe hata katika timu ambazo Yanga amecheza nazo ni timu gani ambayo imeonesha ubora kuliko Marumo?

Nijibu hayo maswali kwanza huku ukiwa una reference ya kuutazama mchezo wa Yanga na Marumo.
Watu hamuishi maneno, ila Rivers ilikuwa hivyo hivyo. Watu walisema ina rekodi nzuri nyumbani akapigwa. Naona sasa tumehamia kwa Marumo. Ubora wa Yanga usibezwe.
 
Wale wale watu wa kuendeshwa na hisia.
Yeah ofcoz we ni hater na unaumizwa kwa kiasi kikubwa na mafanikio ya Yanga.
Upende Usipende Yanga inaenda fainali
Screenshot_20230114-125130.jpg
 
Natamani ukiwa unaquote, kama itakupendeza tutumie taarifa rasmi za CAF wenyewe. Nilikuwa natumia za Livescore ila sasa baada ya kuangalia za CAF, zinatofautiana.

Hata hiyo uliyoweka wewe ni tofauti pia.

Ndugu,

Kila mechi ina approach tofauti kulingana na aina ya mpinzani, uchezaji wa timu, uwanja na hata muda wa mechi kuchezwa.

Huwezi kutumia approach ya game ya Pyramids katika kila mechi. Huwezi kusema kwa sasa alicheza vile dhidi ya Pyramids basi anapaswa kucheza hivyo hivyo dhidi ya Yanga.

Mfano, Yanga kwenye mechi za Uarabuni alifungwa magoli ya kichwa sababu ya ufupi wa Wachezaji wao. Akawaweka wachezaji ambao wana uwezo wa kwenda juu na kucheza mipira hiyo kwa usahihi. Approach ya mchezo huo haipaswi kuwa sawa na mechi zingine zote.

Kutomheshimu mpinzani huwa inapimwaje? Timu icheze vipi ili ujue kuwa haijamheshimu mpinzani? Kama labda kulikuwa na wachezaji kadhaa wa kikosi cha kwanza hawakuchezeshwa kwa sababu waliona mechi ni nyepesi, basi nitakubaliana nawe, vinginevyo hizo ni story tu.
Mkuu unachosahau ni kuwa game approach haiangalii tu mpinzani, inakuwa planned kulingana na uhitaji wa matokeo na sio mpinzani.

Game ya 2 leg na Marumo hakuna approach yeyote itakayoweza kufikiriwa kuwa Marumo atapaki basi na kusubiri kupiga counter attack.

Kwasababu ni game inayohitaji Marumo aahinde goli zaidi ya mbili ili apate nafasi ya kusonga mbele na hiyo ndio main approach ya game.

Kutomuheshimu mpinzani hujui ina maana gani really?

Au umeuliza kwa masihara tu

Kutomuheshimu mpinzani na kusema kumdharau mpinzani au kum-underestimate ni neno moja.
 
Unaacha kuzungumzia Yanga vs Marumo unazungumzia Marumo vs Pyramids. Utafikiri Yanga hakucheza bado na Marumo. Weka takwimu zao wenyewe kwa wenyewe na uzungumzie mapungufu kwa kila mmoja ila wewe unajizungusha zungusha kwa Pyramids huko. Wacha tusubiri tu hiyo jumatano
Huyu Jamaa anaweza kuwa ndiye Jemedar said
 
Watu hamuishi maneno, ila Rivers ilikuwa hivyo hivyo. Watu walisema ina rekodi nzuri nyumbani akapigwa. Naona sasa tumehamia kwa Marumo. Ubora wa Yanga usibezwe.
Watu walisema na ilifaa tuwaheshimu maoni yao.

Vile vile kuna watu waliwahi kusema na matokeo yakaja vile vile kama walivyosema, hatuwezi tukachukua hiyo kama fimbo ya kuanza kuwatusi.

BTW mimi niliwakataa Rivers United mapema siku ile ile ilipotolewa draw.
 
Hayo ni maoni yake ...mpira hauchezwi mdomoni!....

Mwambieni hivyo huyo leah...ndio maana jina la babaake ni la kike!....aache kuwa na mawazo ya kike kike! Kwenye vitu serious....
 
Yanga game ya hapa home alikuwa na upambanaji mkubwa kwa shauku ya kutaka kumaliza mechi hapa hapa nyumbani.

Mimi nimempima Yanga kupitia ubora huu ambao nimeuona, lakini pia kupitia kwa mpinzani mwenye ameonesha challenge ya kiupinzani kuliko wale waliotangulia.

Kwa hiyo kama umenisoma kwenye post mbili zilizopita nimeonesha uwezekano wa matokeo kuja ndivyo sivyo.

Nilichojaribu kuki address mimi ni kwamba Yanga alicheza kwenye ubora, wakati Marumo akikosa nidhamu.

Ni ubora gani ambao unautegemea kuuona kwa Yanga zaidi ya ule?

Kumbuka unapotaja reference ya mechi fulani ya Yanga kuwa bora uwe unaangalia na mpinzani wa hiyo mechi alikuwa nani

Mimi nimeona mechi ambayo Yanga alicheza kwa ubora zaidi ni hiyo ya Marumo na sababu nimeshazitoa.
Nataka kuona hiyo intensity ya Marumo unayoisemea kwa kuangalia mechi yao dhidi ya Pyramids, bondeni.

Kwa taarifa ni kuwa Marumo alipiga Shots on target 4 na kupata kona mbili tu. Pyramids alipiga 3 na kona 8. Possession aliachwa mbali na Pyramids.

Alipocheza na Yanga alipiga on target 4, kona 4 na possesion 52.

Kwa kuangalia mechi ipi walikuwa na intensity kubwa zaidi ya nyingine?
 
Yeah ofcoz we ni hater na unaumizwa kwa kiasi kikubwa na mafanikio ya Yanga.
Upende Usipende Yanga inaenda fainaliView attachment 2623098

Mi sio hater niga, nasema ukweli nadhani ndio kinacholeta shida...

Fatilia takwimu za wakati huo sio tu unabisha, ili uone jinsi gani utavyojiona mbwiga....
 
Mkuu unachosahau ni kuwa game approach haiangalii tu mpinzani, inakuwa planned kulingana na uhitaji wa matokeo na sio mpinzani.

Game ya 2 leg na Marumo hakuna approach yeyote itakayoweza kufikiriwa kuwa Marumo atapaki basi na kusubiri kupiga counter attack.

Kwasababu ni game inayohitaji Marumo aahinde goli zaidi ya mbili ili apate nafasi ya kusonga mbele na hiyo ndio main approach ya game.

Kutomuheshimu mpinzani hujui ina maana gani really?

Au umeuliza kwa masihara tu

Kutomuheshimu mpinzani na kusema kumdharau mpinzani au kum-underestimate ni neno moja.
Nakuuliza wewe ni kwa namna gani Marumo waliacha kuwaheshimu Yanga? Dadavua hoja yako kwa kuonyesha matukio katika mechi husika iliyochezwa pale kwa Mkapa.

Nimekuuliza, kuna mchezaji hakuchezeshwa kwa sababu zisizo na msingi? Maana hapa ndipo nitakuelewa kuwa waliwadharau kwa kudhani wale wa kikosi cha pili wanaweza kuleta matokeo.

Na kwa akili yako, unadhani Yanga watakuja na approach ya aina hiyo hiyo waliyocheza hapa?

Hebu acha maneno yako. Huenda wewe ndiye Leah 🤣🤣🤣. Angalia na maneno ya kuongea. Sema Yanga itafungwa, tutakubali. Lakini si kutuletea mpaka matokeo yaani 3 bila.

Hayo ni mahaba. Hakuna data zozote zinazosupport hoja yako na huyo Leah wako.
 
Nataka kuona hiyo intensity ya Marumo unayoisemea kwa kuangalia mechi yao dhidi ya Pyramids, bondeni.

Kwa taarifa ni kuwa Marumo alipiga Shots on target 4 na kupata kona mbili tu. Pyramids alipiga 3 na kona 8. Possession aliachwa mbali na Pyramids.

Alipocheza na Yanga alipiga on target 4, kona 4 na possesion 52.

Kwa kuangalia mechi ipi walikuwa na intensity kubwa zaidi ya nyingine?
Intensity bila nidhamu, angalia kipindi Pyramids wakiwa golini kwa Marumo na pindi Yanga wakiwa golini kwa Marumo, observe reaction yake hapo utanipa jibu

Halafu

Intensity ilikuwa juu kulingana na Quality ya Pyramids iliwabidi wacheze counter attacks na kutegemea set pieces na sio kupishana.
 
Cha msingi kisinda,key Steven wasianze kwenye huo mchezo mudathir aanze first half,musonda ama mzize mmoja wao aanze
 
Nakuuliza wewe ni kwa namna gani Marumo waliacha kuwaheshimu Yanga? Dadavua hoja yako kwa kuonyesha matukio katika mechi husika iliyochezwa pale kwa Mkapa.

Nimekuuliza, kuna mchezaji hakuchezeshwa kwa sababu zisizo na msingi? Maana hapa ndipo nitakuelewa kuwa waliwadharau kwa kudhani wale wa kikosi cha pili wanaweza kuleta matokeo.

Na kwa akili yako, unadhani Yanga watakuja na approach ya aina hiyo hiyo waliyocheza hapa?

Hebu acha maneno yako. Huenda wewe ndiye Leah [emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Angalia na maneno ya kuongea. Sema Yanga itafungwa, tutakubali. Lakini si kutuletea mpaka matokeo yaani 3 bila.

Hayo ni mahaba. Hakuna data zozote zinazosupport hoja yako na huyo Leah wako.
Eti ndio Leah mwenyew[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Intensity bila nidhamu, angalia kipindi Pyramids wakiwa golini kwa Marumo na pindi Yanga wakiwa golini kwa Marumo, observe reaction yake hapo utanipa jibu

Halafu

Intensity ilikuwa juu kulingana na Quality ya Pyramids iliwabidi wacheze counter attacks na kutegemea set pieces na sio kupishana.
Hata alipocheza na Yanga walicheza kwa counter attacks. Mpira waliumiliki zaidi wakiwa kwenye eneo lao, si katika zone ya Yanga.

Ukweli ni kuwa Marumo walicheza kwa uwezo wao wote kutafuta ushindi. Na walionyesha kiu sana.
 
Back
Top Bottom