Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Anaitwa nani?Mchambuzi nguli mwenye kujua vizuri kiingereza Goeff Leah kutoka sports headquarters Efm amesema ana uhakika Marumo atashinda tena goli kuanzia 3-0 na Yanga hatofuzu na hivyo ndoto za ubingwa zitaishia hapo.
Mimi kama mjumbe siuwawi, njooni mtoe ya moyoni, mtiririke na kuserereka
Mimi ni Simba, ila huyo jamaa huwa ni mnoko na elements za kichoko.Mchambuzi nguli mwenye kujua vizuri kiingereza Goeff Leah kutoka sports headquarters Efm amesema ana uhakika Marumo atashinda tena goli kuanzia 3-0 na Yanga hatofuzu na hivyo ndoto za ubingwa zitaishia hapo.
Mimi kama mjumbe siuwawi, njooni mtoe ya moyoni, mtiririke na kuserereka
Anajua kiingereza? Hajui kiingereza kabisa anachojua kiswangish,hayo mambo ya nani kufungwa tusubiri mpira ukiishaMchambuzi nguli mwenye kujua vizuri kiingereza Goeff Leah kutoka sports headquarters Efm amesema ana uhakika Marumo atashinda tena goli kuanzia 3-0 na Yanga hatofuzu na hivyo ndoto za ubingwa zitaishia hapo.
Mimi kama mjumbe siuwawi, njooni mtoe ya moyoni, mtiririke na kuserereka
Ajiandaeee......watamchoma moto ...ushabiki hivyo una hatari sana mbeleniMchambuzi nguli mwenye kujua vizuri kiingereza Goeff Leah kutoka sports headquarters Efm amesema ana uhakika Marumo atashinda tena goli kuanzia 3-0 na Yanga hatofuzu na hivyo ndoto za ubingwa zitaishia hapo.
Mimi kama mjumbe siuwawi, njooni mtoe ya moyoni, mtiririke na kuserereka
Hawezi ongea maneno kumi bila kuchomekea neno la kimalkia, utadhani anakijua kweli , dogo miyeyusho sanaAnaijua English ya Great Britain au ya U.S.A? Acha kumjaza maji!