Jeff Leah: Yanga itafungwa 3-0 na Marumo na nina uhakika haitofuzu Fainal wala kuchukua kombe

Nadhani sasa jibu utakua nalo.
Boma Yee!!
Case Closed!
 
Wewe jamaa
 
Mssmehe Cassidy bado ni kijana ndogo sana
 
Katika makolo wenye akili mmoja wapo ni wewe👏
 

1:Yanga itafungwa 3-0 na Marumo
Jibu:Yanga imeshinda 2-1 dhidi ya Marumo.

2:Na nina uhakika Yanga haitafuzu fainali
Jibu:Yanga imefuzu fainali kwa ushindi wa goli 4-1 dhidi ya Marumo.

3: Na hata ikiingia fainali haitachukua ubingwa
Jibu:Kila nia mbaya uliyoitarajia kwa Yanga imekuwa kinyume nawe, Yanga imeingia fainali kwa kishindo kwa hiyo, tarajia ubingwa ndugu yangu kwa maslahi mapana ya nchi yetu Tanzania,

4: Shukrani za kipekee zimwendee Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Dkt Samia Sulluhu Hassan pamoja na viongozi wengine wa serikali na club ya Yanga pamoja na wadau wote waliofanikisha mafanikio ya club yetu hadi fainali, Mungu awabariki wote.
 
Nilodhani jamaa ameongea kama mchambuzi ila the fact that hajapost popote wala kuongea kuwapongeza Yanga kwa walichokifanya itoshe kusema utabiri aliutoa kwa kuongozwa na chuki ya ndani kabisa aliyonayo dhidi ya Yanga. So mimi kama mwenyekiti wa washabiki wa Yanga jukwaani namtangaza Geoff Lea kuwa adui wa Yanga kwa hiyo tunaruhusiwa kumuandama kwenye chochote atakachokifanya kiwe kinahusiana na michezo au mambo binafsi. Tuendelee kumkabia juu kwa kila atakachokifanya
 
Mwambie anaota aamke asije kojoa kitandani.
 
Mchambuzi nguli mwenye kujua vizuri kiingereza Goeff Leah kutoka sports headquarters Efm amesema ana uhakika Marumo atashinda tena goli kuanzia 3-0 na Yanga hatofuzu na hivyo ndoto za ubingwa zitaishia hapo.
akachambue karanga, mpira umemshinda!
 
Ili nionekane sijachambua kishabiki ulitaka uone nasema Yanga anashinda goli 5?
Samahani Mkuu, mimi nakubaliana na wewe kuhusu hoja ya kuwavumilia Wachambuzi ila kitu ambacho sikubaliani nacho ni pale mchambuzi alipotaja mpaka idadi ya magoli atakayofungwa Yanga. Nadhani hapo tukubaliane alivuka mipaka ya uchambuzi. Hakustahili kabisa kufanya kitu kile maana atambue kuwa Yanga au Simba hizi timu zina mashabiki wengi na wenye mitazamo tofauti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…