princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,245
- 18,347
mwambieni huku utopwinyo raha sanaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani sasa jibu utakua nalo.Hoja ni moja tu.
Katika hizo timu alizocheza nazo Yanga ni nani mwenye Quality ya kuikia Pyramids?
Watu wameangalia uzito wa wapinzani ambao Marumo wamekutana nazo, ebu niambie mwenyewe hata katika timu ambazo Yanga amecheza nazo ni timu gani ambayo imeonesha ubora kuliko Marumo?
Nijibu hayo maswali kwanza huku ukiwa una reference ya kuutazama mchezo wa Yanga na Marumo.
Wewe jamaaMnapenda ku catch feelings kwenye vitu vidogo.
Mchambuzi anaongea kupitia takwimu na sio kuridhisha upande eti kwasababu ni timu ya nyumbani au namna gani.
Hakuajiriwa kwa kazi hiyo na isingependeza boss wake kuona kila siku unajadili mlengo mmoja tu wa kimaoni.
Huyo Geaf Leah ni mshabiki mkubwa wa Mayele tena sana na anamuelezea kwa namna ya kiukubwa sana pengine tofauti na wachambuzi wengine wote ambao mimi nimewasikiliza chambuzi zao.
Hapo umem attack kupitia tittle tu ya uzi lakini naimani hujasikiliza sababu za msingi kwanini yeye ameona hivyo.
Huwa nashangazwa sana sometimes unakuta matokeo yamekuja kinyume na wachambuzi walivyobashiri basi kila mtu anaanza kuwarudia kuwatukana.
Hiyo sio fair na ukitaka kuona jaribu kufatilia tu hata hapo studioni wanakuwa wachambuzi wenyewe kwa wenyewe wanatofautiana maono.
Lakini angalia namna wanavyo argue kisomi kukosoa maoni ya mchambuzi mwezake kwa kutoa sababu za mashiko kuonesha namna gani mwezake hayupo sahihi.
Huwezi kukuta wanatukanana kwa hiki kiwango ambacho sisi mashabiki tumekuwa tukiwafanyia.
Unakatwa na baba levoSafari hii mjumbe lazima auwawe, maana mtazowea..!! Hivi wewe ni teko au tako?
We jamaa japo nime react kicheko usifikiri nimependa matusi yako, hapana.Unakatwa na baba levo
Aaah kumbe na we uliandika hivi?Safari hii mjumbe lazima auwawe, maana mtazowea..!! Hivi wewe ni teko au tako?
Kwa jina hili haijulikani kama Mzazi wake wa kiume ni huyo Leah au pana makosa ya kiuandishi. Itoshe tu kusema kwamba hii kazi ya uchambuzi haimfai akatafutlte kazi nyingine tu.Anaitwa nani?
Mssmehe Cassidy bado ni kijana ndogo sanaMchambuzi nguli mwenye kujua vizuri kiingereza Goeff Leah kutoka sports headquarters Efm amesema ana uhakika Marumo atashinda tena goli kuanzia 3-0 na Yanga hatofuzu na hivyo ndoto za ubingwa zitaishia hapo.
Mimi kama mjumbe siuwawi, njooni mtoe ya moyoni, mtiririke na kuserereka
NsameeeeAaah kumbe na we uliandika hivi?
Katika makolo wenye akili mmoja wapo ni wewe👏Mkuu,
Unataka tudadavue uhalali wa hoja ya huyo Mchambuzi? Ungepaswa kutiririka ni kwa namna gani yeye anaona Yanga akifungwa 3 bila huko kwa Madiba.
Mimi naanza kwa kukuletea matokeo ya Marumo Gallants awapo katika ardhi ya nyumbani kwa mechi zote 6 kisha matokeo ya Yanga akiwa ardhi ya ugenini, kisha tupime logic ya Mchambuzi wako.
Mpaka sasa Marumo Gallants kacheza mechi 6 nyumbani;
1.Mtoano
Vs ASSM ELGECO PLUS 1-0
Vs AL AHLI TRIPOLI 3-0
2.Makundi
Vs AL ALKHADAR 4-1
Vs USM ALGER 2-0
Vs SAINT ELOI LUPOPO 3-2
3. Robo Fainali
Vs Pyramids 1-0
Katika hizo mechi sita, ambazo kashinda magoli zaidi ya 3 (kwa scenario ya mchambuzi) ni mechi 3 sawa na 50%. Na katika hizo ambayo katoka na clean sheet ni ni moja tu dhidi ya Al Ahli Tripoli. Nasemea clean sheet kwa sababu hii ni knock out. Mwenzako kupata goli moja tu ni milestone. Akishinda 3-1, Yanga anapita.
Hivyo, katika mechi zake 6, iliyozaa uhakika ya kutoboa kwa goli 3-0 ambayo kasema Leah ni moja ambayo ni sawa na 17%.
Turudi kwa Wenzetu Utopolo kwa Matokeo ya Ugenini. Mind you, tunapaswa kuvitupilia mbali factors zingine na turudi kupima uhalali wa hoja za Leah kwa matokeo ya uwanjani kwa timu zote mbili.
Yanga mpaka sasa katika kombe la Shirikisho kacheza mechi tano;
1. Knock out
Vs Club Africain 0-1
2.Group Stage
Vs Monastir 2-0
Vs AS Bamako 1-1
Vs Tp Mazembe 0-1
3.Robo fainali
Vs Rivers United 0-2
Katika mechi tano, Yanga kashinda mechi 3 ambayo ni sawa na 60% na kutoka droo moja na kushindwa moja. Hivyo, Yanga anaonekana kuwa na rekodi nzuri ugenini. Na katika mechi zote sita, hakuna mechi ambayo kafungwa zaidi ya goli mbili. Hivyo, hiyo 3 ya Leah hakuna. Katika mechi tano, Yanga kafunga katika mechi nne, sawa na asilimia 80.
Sasa hoja yake ya kusema Yanga atafungwa goli 3-0 anaipata wapi? Uwezekano wa kushinda 3 anao, ila si bila. Matokeo sawa yana namna yake, lakini kwa data tu, mchambuzi huwezi kukurupuka na kusema atafungwa kiasi kadhaa cha magoli.
Uwezekano wa Marumo Gallants kushinda upo kama ilivyo nature ya mpira. Lakini si kwa kiwango cha kuaminishwa na Leah.
Twende mdogo mdogo.
Uchambuzi wa mpira lazima uweke ushabiki pembeni,kinachokuharibia ni ushabiki maandaziMabishano yetu yalikuwa kuhusu kuwahadaa wachambuzi kutokana na perception zao
Mchambuzi nguli mwenye kujua vizuri kiingereza Goeff Leah kutoka sports headquarters Efm amesema ana uhakika Marumo atashinda tena goli kuanzia 3-0 na Yanga hatofuzu na hivyo ndoto za ubingwa zitaishia hapo.
Mimi kama mjumbe siuwawi, njooni mtoe ya moyoni, mtiririke na kuserereka
1:Yanga itafungwa 3-0 na MarumoMchambuzi nguli mwenye kujua vizuri kiingereza Goeff Leah kutoka sports headquarters Efm amesema ana uhakika Marumo atashinda tena goli kuanzia 3-0 na Yanga hatofuzu na hivyo ndoto za ubingwa zitaishia hapo.
Mimi kama mjumbe siuwawi, njooni mtoe ya moyoni, mtiririke na kuserereka,
Ili nionekane sijachambua kishabiki ulitaka uone nasema Yanga anashinda goli 5?Uchambuzi wa mpira lazima uweke ushabiki pembeni,kinachokuharibia ni ushabiki maandazi
Mwambie anaota aamke asije kojoa kitandani.Mchambuzi nguli mwenye kujua vizuri kiingereza Goeff Leah kutoka sports headquarters Efm amesema ana uhakika Marumo atashinda tena goli kuanzia 3-0 na Yanga hatofuzu na hivyo ndoto za ubingwa zitaishia hapo.
Mimi kama mjumbe siuwawi, njooni mtoe ya moyoni, mtiririke na kuserereka
akachambue karanga, mpira umemshinda!Mchambuzi nguli mwenye kujua vizuri kiingereza Goeff Leah kutoka sports headquarters Efm amesema ana uhakika Marumo atashinda tena goli kuanzia 3-0 na Yanga hatofuzu na hivyo ndoto za ubingwa zitaishia hapo.
Samahani Mkuu, mimi nakubaliana na wewe kuhusu hoja ya kuwavumilia Wachambuzi ila kitu ambacho sikubaliani nacho ni pale mchambuzi alipotaja mpaka idadi ya magoli atakayofungwa Yanga. Nadhani hapo tukubaliane alivuka mipaka ya uchambuzi. Hakustahili kabisa kufanya kitu kile maana atambue kuwa Yanga au Simba hizi timu zina mashabiki wengi na wenye mitazamo tofauti.Ili nionekane sijachambua kishabiki ulitaka uone nasema Yanga anashinda goli 5?
Nakujua mkuu kwa hiyo tuachane nayo?Ili nionekane sijachambua kishabiki ulitaka uone nasema Yanga anashinda goli 5?