Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Ngoja nikuulize jamboSamahani Mkuu, mimi nakubaliana na wewe kuhusu hoja ya kuwavumilia Wachambuzi ila kitu ambacho sikubaliani nacho ni pale mchambuzi alipotaja mpaka idadi ya magoli atakayofungwa Yanga. Nadhani hapo tukubaliane alivuka mipaka ya uchambuzi. Hakustahili kabisa kufanya kitu kile maana atambue kuwa Yanga au Simba hizi timu zina mashabiki wengi na wenye mitazamo tofauti.
Hao wachambuzi wangetaja hiyo idadi ya magoli kuwa watafunga Yanga ungewaona wabaya?