Jeff Leah: Yanga itafungwa 3-0 na Marumo na nina uhakika haitofuzu Fainal wala kuchukua kombe

Jeff Leah: Yanga itafungwa 3-0 na Marumo na nina uhakika haitofuzu Fainal wala kuchukua kombe

Samahani Mkuu, mimi nakubaliana na wewe kuhusu hoja ya kuwavumilia Wachambuzi ila kitu ambacho sikubaliani nacho ni pale mchambuzi alipotaja mpaka idadi ya magoli atakayofungwa Yanga. Nadhani hapo tukubaliane alivuka mipaka ya uchambuzi. Hakustahili kabisa kufanya kitu kile maana atambue kuwa Yanga au Simba hizi timu zina mashabiki wengi na wenye mitazamo tofauti.
Ngoja nikuulize jambo

Hao wachambuzi wangetaja hiyo idadi ya magoli kuwa watafunga Yanga ungewaona wabaya?
 
Nilodhani jamaa ameongea kama mchambuzi ila the fact that hajapost popote wala kuongea kuwapongeza Yanga kwa walichokifanya itoshe kusema utabiri aliutoa kwa kuongozwa na chuki ya ndani kabisa aliyonayo dhidi ya Yanga. So mimi kama mwenyekiti wa washabiki wa Yanga jukwaani namtangaza Geoff Lea kuwa adui wa Yanga kwa hiyo tunaruhusiwa kumuandama kwenye chochote atakachokifanya kiwe kinahusiana na michezo au mambo binafsi. Tuendelee kumkabia juu kwa kila atakachokifanya
Hizi ndio mentality za Manara
 
Ngoja nikuulize jambo

Hao wachambuzi wangetaja hiyo idadi ya magoli kuwa watafunga Yanga ungewaona wabaya?
Kutaja magoli kuwa Yanga atafungwa tatu bila, kwa mashabiki wa mpira ni dharau kubwa mno. Bora angesema tu Yanga atafungwa. Maana watu wanaanza kujiuliza amejuaje kuwa tutafungwa 3? Je, timu yetu ni mbovu kiasi gani mpaka jamaa anakuwa na uhakika wa kuwa tutafungwa 3. Ndio maana ilipotokea hawajafungwa 3, mashabiki wameanza kutoa nyongo yao.
 
Geof Leah, Binti Kazumari, Juma Ayo, Oruma, Ricardomomo, MastaTindwa... Hawa ni wachambuz ambao wanapenda kushobokea wanaume... Muwachunguze lazima hawana ubingwa...
 
Kuna jamaa hapo juu anaitwa Scars alikuwa anabishana na Dr nani sijui hapo juu nimefuatilia sana huyo Dr anafanya analysis nzuri sana siku mbili kabla ya mechi. That guy scars was so damn sure of himself baada ya mechi jamaa anamuita wakumbushane ubishi wao wa juzi jamaa hata anachokiongea hakieleweki.

Tusiichukulie poa Yanga jamani na kama huipendi ni bora ukae kimya tu. Eti Marumo watapress na wana mpira wa counter attack wakati goli la Morrison walipigwa Counter wao na hata jana wamekoswa na counter attack nyingi ni vile tu accuracy ya strikers wa yanga saa zingine haikuwa nzuri.
 
Kutaja magoli kuwa Yanga atafungwa tatu bila, kwa mashabiki wa mpira ni dharau kubwa mno. Bora angesema tu Yanga atafungwa. Maana watu wanaanza kujiuliza amejuaje kuwa tutafungwa 3? Je, timu yetu ni mbovu kiasi gani mpaka jamaa anakuwa na uhakika wa kuwa tutafungwa 3. Ndio maana ilipotokea hawajafungwa 3, mashabiki wameanza kutoa nyongo yao.
Hujajibu swali.

Huyo mchambuzi angesema Marumo atafungwa goli 3 ungemuona mchambuzi ana dharau?

Wydad alipopangwa na Simba kwani sio nyie mliokuwa mnasema Simba atafungwa 8-0?

Lini uliwahi kujitokeza kupinga utabiri huo kuwa ni dharau kwa Simba?
 
Ningemwona ana dharau kulingana na kiwango cha Marumo Gallants pamoja na falsafa ya mpira. Kuhusu suala la Wydad na Simba mimi binafsi sikuliona ingawa umeniingiza katika mkumbo huo na hata ningeiona na kuisoma comments zangu zingekuwa kama za leo Kiongozi..
 
Kivipi prediction ya matokeo ya 3-0 kwenye mpira iwe ni dharau?

Uliangalia UCL jana?
 
Yanga bingwa uwape taarifa na makolo wenzio makombe yote anayo shiriki kolo fc hajapata hata moja hadi la mbuzi hana kwa maana hiyo ni sawa na mwanafunzi wa sekondari hajuwi kuandika jina lake by
 
Sipotezi muda kusikiliza wachambuzi uchwara wa aina hii , hawana sifa ya kuchambua Mechi za Mpira wa miguu
Wapo kwa ajili ya maslahi binafsi ( self interest )
 
40337243-D5AE-4149-8E91-466A175042A9.jpeg
 
Back
Top Bottom