Mkuu, Mungu amesema tumpende kwa AKILI siyo kwa Hekaya zisizokubaliana na REASONING. Ukikaa kwenye mrengo huo ndio utauziwa mpaka mafuta na keki za upako!Mkuu,
Kama unaamini ni uongo tu unaoambiwa, basi endelea kwa wakati wako kufanya dhambi. Baada ya kufa utuletee mrejesho mambo yakoje huko. Kwa maana nyingine, ipi bora: kujiweka sawa kwa kuamini unachoambiwa, au kusubiri mpaka kufa ujionee mwenyewe, na kama moto upo kweli sijui utafanyaje?
Ukiweka link yake itawasaidia wengi.Ni concept pana kidogo ambayo hiv karibun nimeanza kuifikiri upya baada ya kusoma soma maandiko ya watu tofaut tofauti.
Anayependa kusoma anaweza akatafuta kitabu kinaitwa MANY LIVES MANY MASTERS
Andika upya.Madhani ni jambo la kudikirika. Tukifa ndio tutafahamu ukweli
NI kweli. Lakini a finite offence demands a finite penalty. Kinyume na hivyo huyo Mungu atakuwa si Mungu wa HAKI kama anavyojieleza.Ilichukuliwa mfano ule Ili iwe rahisi kuwafundisha watu wa eneo lile waweze elewa
AsAnte pia kwa mchango wako. Lakini sijui ni biblia ipi unayosoma. Biblia ina matoleo (versions) mengi na imeshachakachuliwa vya kutosha. Vitabu vingi vimeondolewa kwenye mkusanyiko wa biblia. Biblia inayosomwa na wengi ni matokeo ya padri mkatoliki wa Ujerumani ,Martin Luther, muasisi wa kanisa la Lutheran, aliyeachana na na kanisa lake na kuamua kutengeneza toleo lake la biblia (Die Bibel) na kunyofoa na kutupilia mbali Aya kadhaa kutoka kwenye toleo la Kilatini (Vulgate) ambazo yeye hakuzipenda au zilimkera. Vitabu vingi vilivyo kwenye inayoitwa The Jerusalem Bible au The Catholic Bible havipo kwenye King James Bible ila wakatoliki wamebaki navyo kwenye Biblia, wanaviita vitabu vya Apokrifa ( Deuterocanonical books). Nimeeandika hayo ili mchangiaji wa Uzi wangu ufute kichwani mwako kwamba kila kilichoandikwa kwenye Biblia yako lazima tumuamini. Mengine humo watu waneongeza Aya zao kwa mawazo Yao wenyewe. Aya kadhaa unazozisoma hapo hazipo kwenye nakala za mwanzo ( nowhere to be found in the original documents). Mfuate Mungu kwa AKILI yako yote.Kusiwepo kuwepo na jehanamu basi biblia itakuwa ni kitabu cha uongo.
Biblia ni hakika ya mambo yote yaliyo simuliwa ni lzm yatimilike
Vyuo vya elimu za dini, online,pia hii elimu ni pana mfano Elimu kuhusu nyota,majini, uchawi,anga,roho,nguvu zisizoonekana nk unaweza ukapakua tu hata online unapata links nyingi tuAsante ila ingekuwa vema ungesema elimu hiyo inapatikana wapi au kwa namna gani.
Unathubutuje kumkosea Mungu kwa Yale ayatakayo yy Kama unamuona sio wa upendo tafuta Mungu wako wa upendo umuabuduSWALI/MJADALA: Jehanamu ni kweli "moto" usiozimika ambao Mungu atawakaanga humo watu ambao hawakufuata maagizo yake?
Mungu huyu ambaye anajitanabaisha kwamba ni UPENDO na UPENDO huo unasemwa kwamba HAUHESABU MABAYA, HAULIPI KISASI, HUSAMEHE YOTE: Ndiyo huyo Mungu wa kukaanga watu kwenye moto wa milele?
Huyo Mungu anayetaka sisi tusamehe bila kikomo (7x70) ndiyo huyo huyo au mwingine? Na amkaange Jehanamu kiumbe ili iwe nini? Purpose yake ni nini? Kama haki yake inazidi UPENDO wake basi maandiko yenyewe hayajipingi?
Karibuni tujadili na labda tujitoe kwenye mawazo yanayotufunga NIRA ya utumwa.
Aliye kufanya kua na hiyo akili ni nani?Mungu huyo aliyesema tumpende kwa AKILI zetu zote ndo huyo Tena tumuamini kwa hadithi za kusadikika??!! Maana yake tuweke AKILI pembeni??!
Hakuna kitu kama hicho Mungu kaniumbia macho na matamanio na huyo huyo Mungu akamuumba mwanamke mwenye mahips then akasema ukimtamani anakuchoma MOTO sasa ndo nini?
Angalau wewe umetumia akili yako vizuri. Kuna watu watu wanaandika kuhusu ulimwengu wa roho lakini hata ukiwauliza ulimwengu wa roho nini sijui kama watanibu. Kwenye ulimwengu wa roho hakuna haya tuliyonayo kwenye ulimwengu wetu. Hakuna wakati (time). It is another plane of existence. Milele inayotajwa kwenye Biblia ni lugha ya picha ( metaphorical language) na haina uhusiano na sekunde,dakika masaa n.k!!Katika kitabu cha Yuda 1:7
Mwandishi amezitaja Sodoma na Gomorra kuwa miji hiyo inateketezwa na moto wa milele akitumia PRESENT CONTINUES TENSE.
sasa jiulize ni kweli inateketezwa kama alivyoandika?
Ukinijibu hili takuja kufafanua kuhusu uwepo wa jehanamu na moto wa milele.
View attachment 2162626
Mbona Yesu alipinga hilo kwenye mfano wa tajiri na masikini Lazaro?? Huoni uongo wa wazi unaopingana na Biblia kwenye hizo shuhuda feki??Kwa ushuhuda wa waliopata neema ya kwenda na kurudi kuzimu ipo ni kitu halisi
KaMa ni hivyo basi vitabu vyetu vya dini vina faida gani? Biblia inasema neno la Mungu ni taa ya kutumulikia ila kuondoa SINTOFAHAMU! Kusema tutajua tukifa ni kichekesho kisichokubaliana na hayo maandiko matakatifuIli swali waliokufa tu ndio wana majibu yake sahihi sisi wengine tutabaki kukisia tu
Nakuelewa ila nilitaka ufafanue kwa manufaa ya wengine. Asante japo huko ulikokutaja pia usipoingia kwa Akali Kuna elimu tele za UONGO!Vyuo vya elimu za dini, online,pia hii elimu ni pana mfano Elimu kuhusu nyota,majini, uchawi,anga,roho,nguvu zisizoonekana nk unaweza ukapakua tu hata online unapata links nyingi tu
Sadaka ni hiariHao ni wachumia tumbo tu ili akuibie kwa jina la sadaka, matoleo, zaka, maji na mafuta na sabuni na vitamba vya upako and the like.
Lakini mbona zinafanana toka kwa Shuhuda mbalimbaliMbona Yesu alipinga hilo kwenye mfano wa tajiri na masikini Lazaro?? Huoni uongo wa wazi unaopingana na Biblia kwenye hizo shuhuda feki??