Kama kweli Mungu anafanya hayo hoja kwamba yeye ni mtenda haki basi Mungu huyo ni katili kupita maelezo. Mungu wa namna hiyo hafai kupendwa. Tumeaminishwa hadithi za ajabu sana!Mkuu,
Kama unaamini ni uongo tu unaoambiwa, basi endelea kwa wakati wako kufanya dhambi. Baada ya kufa utuletee mrejesho mambo yakoje huko. Kwa maana nyingine, ipi bora: kujiweka sawa kwa kuamini unachoambiwa, au kusubiri mpaka kufa ujionee mwenyewe, na kama moto upo kweli sijui utafanyaje?
Angalau huyo alikuwa mkweli kiasi fulani. Lakini hali pia inahitaji existence. Ndipo swali linabaki MBINGUNI NI WAPI.Mchungaji wangu aliwahi kuniambia hakuna sehemu ambapo ni motoni au jehanamu, peponi au mbinguni.
Pepo au jehanamu ni hali na wala si mahali. Kwa hiyo hizo sehemu hazipo kama tunavyo dhani.
Ni story za kakitabu kakihuni tu , Bible Ni kakitabu Fulani kakihuni Sana na kaliandikwa na wahuni Fulani hivi kwa kutumia fasihi ya juu Sana,, ukitaka kufa masikini endekeza diniSWALI/MJADALA: Jehanamu ni kweli "moto" usiozimika ambao Mungu atawakaanga humo watu ambao hawakufuata maagizo yake?
Mungu huyu ambaye anajitanabaisha kwamba ni UPENDO na UPENDO huo unasemwa kwamba HAUHESABU MABAYA, HAULIPI KISASI, HUSAMEHE YOTE: Ndiyo huyo Mungu wa kukaanga watu kwenye moto wa milele?
Huyo Mungu anayetaka sisi tusamehe bila kikomo (7x70) ndiyo huyo huyo au mwingine? Na amkaange Jehanamu kiumbe ili iwe nini? Purpose yake ni nini? Kama haki yake inazidi UPENDO wake basi maandiko yenyewe hayajipingi?
Karibuni tujadili na labda tujitoe kwenye mawazo yanayotufunga NIRA ya utumwa.
Kwa hiyo mbingu ni physical place?? Kama ndiyo sema ilipo niongee na NASA tutume chombo cha anga za juu! Niambie pia iko Kwenye galaxy ipi.
Hilo liko wazi wala sipingani nalo. Lakini nasisitiza Tena A FINITE OFFENCE DEMANDS A FINITE PENALTY. Hizi habari za Mungu kukaanga watu kwenye moto ni Hekaya za kujazana ujinga. Kwenye ulimwengu wa roho hakuna moto. Moto ili uwe moto unahitaji Oksijeni! Hiyo kwenye ulimwengu wa roho hakuna.
endelea kitenda izo dhambi utafurahii kwa mun
Majibu ya namna hiyo yasiyo na chembe ya hoja ni ndio ujinga mtupu. Kanusha kwa hoja usilete humu utumwa wako wa akili.endelea kitenda izo dhambi utafurahii kwa mungu
Hunibu bado hoja yangu. Umekuja tu na Hekaya ulizoletewa na watu weupekuna maisha baada ya kufa.
Tutakuja kufufuliwa na kwenda kuhukumiwa kuanzia Adam mpaka binadamu wa mwisho.
Tutakaa kwenye uwanja.
Kila mtu atapitia hukumu yake.
Siku hyo hakiachwi kitu.kila tendo ulilolifanya duniani utaoneshwa.
Ndipo utahukumiwa peponi au motoni
Hunibu bado hoja yangu. Umekuja tu na Hekaya ulizoletewa na watu weupe
Kwahiyo kutupwa jehanamu unaona sio haki vipi na watakao ingia peponiKama kweli Mungu anafanya hayo hoja kwamba yeye ni mtenda haki basi Mungu huyo ni katili kupita maelezo. Mungu wa namna hiyo hafai kupendwa. Tumeaminishwa hadithi za ajabu sana!
ShukuranUna akili sana wewe. Wengine hata hizo dimensions ni kitendawili kwao basi wanaishia kusema tu ni ulimwengu wa roho. Ukimuuliza roho ni nini hana jibu. Big up mkuu!
Nooooo.We hauna future kwa sababu inaweza kuonekana. Ukiona future yako inaonekana hasa ss wanadamu ujue iyo ni past sio future. This world is like simulation game all missions are saved, utakapo zaliwa mpaka kifo.Na huyo Mungu ambaye tunaamini anajua yote then anafanya biashara ya kuumba wanadamu na anajua baadae atapata hasara kwa binadamu kuishia kukaangwa kwenye moto, huyo ni Mungu wa aina gani? Hadithi za kujazana ujinga tu.
Jehanamu ni dampo ambalo Wayahudi wa kale walikuwa wanachomea takataka zao ,hii tafsiri mpya ililetwa na WarumiSWALI/MJADALA: Jehanamu ni kweli "moto" usiozimika ambao Mungu atawakaanga humo watu ambao hawakufuata maagizo yake?
Mungu huyu ambaye anajitanabaisha kwamba ni UPENDO na UPENDO huo unasemwa kwamba HAUHESABU MABAYA, HAULIPI KISASI, HUSAMEHE YOTE: Ndiyo huyo Mungu wa kukaanga watu kwenye moto wa milele?
Huyo Mungu anayetaka sisi tusamehe bila kikomo (7x70) ndiyo huyo huyo au mwingine? Na amkaange Jehanamu kiumbe ili iwe nini? Purpose yake ni nini? Kama haki yake inazidi UPENDO wake basi maandiko yenyewe hayajipingi?
Karibuni tujadili na labda tujitoe kwenye mawazo yanayotufunga NIRA ya utumwa.