Jela miaka 150 kwa kubaka watoto wake watano(5)

Kwahiyo bora asifungwe ili aendelee kuwabaka vizuri mpaka awazalishe kabisa au! Hapo inatakiwa wasaidiwe mama yao si yupo, halafu nayeye alikuwa wapi mpaka watoto wote hao wanabakwa na Baba yao? Nayeye wangemfunga mwaka mmoja kwa uzembe wakutoangalia watoto wake vizuri
 
Kumfunga ni sahihi lakini ukishamfunga watoto unawapa mazingira? Ulaya ukifungwa watoto wanapelekwa Fosterhome sasa TZ unamfunga bread winner tunashangilia wanabaki wanaishije? Mama ana uwezo? Hao watoto tunawapa ushauri wa kisaikolojia?
 
Uongooo... m2 mmoja anabakaje watoto wa5 hawa wa4 si wangepiga kelele jamani ili kumuokoa mwenzao fafanua vizuri
Kwahiyo kaonewa? Kwani hajui kama ni kosa mpaka awafanyie mazingira yakuonekana? Si umesikia kawabaka kwa nyakati tofauti hata shambani
 
Kumfunga ni sahihi lakini ukishamfunga watoto unawapa mazingira? Ulaya ukifungwa watoto wanapelekwa Fosterhome sasa TZ unamfunga bread winner tunashangilia wanabaki wanaishije? Mama ana uwezo? Hao watoto tunawapa ushauri wa kisaikolojia?
Sasa kama Baba mbakaji unategemea aachwe kisa watoto watateseka? Hayo kama angekuwa Baba mwema angebaka watoto wake, unazani watoto wanajisikiaje kuwa wamebakwa na Baba yao mzazi, swala la maisha wataishije ni jingine acha wamtoe kwanza huyo mbakaji mbona kuna watu huwa wanasaidiwa!
 
Tupunguze mihemuko, amefanya jambo baya anastahili adhabu lakini Jaji au Hakimu akishahukumu nini huw kinafuatia? Fuatilia kesi zote zinazohusu wazazi baada ya hukumu kinachofutia nyuma ni mateso makali kwasababu Ustawi wa Jamii hawafanyi lolote na Hakimu hasemi nini kifuate
 
Kwahiyo bora angesamehewa kwasababu ni kosa la kwanza! Sizani kama jinai inaangalia hilo, ma hiyo mihemko unayoisema sijui imetoka wapi? Wangekuwa ni wanao wamebakwa ungesema hivyo?
 
Kuja kutoka jela atakuta mambo yamebadilika sana......

ATAKUTA CHIPS KAVU INAUZWA LAKI 2

MPAKA OMBAOMBA WANATEMBELEA VX
 
Hujumu namna hizo huwa zinaenda sambamba, jama ni miaka 30 kika mtoto ina maana ni hukumu ya miaka 30 tu hapo.

Tena kwa hesabu za kijelajela na misamaha, usikute hatomaliza miaka 12 ndani.
 
Kila mtoto kampa miaka30 ukizidisha mara5 ngoma imekubali ni sawa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Mganga aliyemdanganya sahiv anakaribia kibaha kuingia daslamu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sawa kabisa masai gani huyu mwenye laana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…