Joseph Mdachi
Member
- Sep 12, 2024
- 17
- 13
Kwa uthibitisho upi ? Kuna mkatoliki anaitwa IDDI Selemani Ally ?,hebu tuweni serious na mambo mengine ili tujiepushe na kujishushia heshima.Bila shaka ni mkatoliki huyo.
Kwa uthibitisho upi ? Kuna mkatoliki anaitwa IDDI Selemani Ally ?,hebu tuweni serious na mambo mengine ili tujiepushe na kujishushia heshima.Bila shaka ni mkatoliki huyo.
Ngoja niicheki kuna la kujifunza hapa🤔Hapana sikumbuki vizuri lakini najua kuna some scenes za aibu kuangalia na mtu
Mizagamuo iliyopo ni ya baba na mtoto wake tu
Dunia haina mwisho sisi Binadamu ndiyo tuna mwisho.Dalili za mwishzo wa dunia
hapana, nita itafuta comrade.Imenikumbusha movie Girl in the basement
Baba kamfungia mwanae kwenye secret room for YEARS,kamzalisha
Comrade Intelligent businessman unaijua hiyo movie?
Hadithi ya lutu alipolala na mabinti zake wawili mbona haikua mwisho wa dunia kwenye ile riwaya?
We jamaa kule umesema mijitu ya mikoani ya ajabu! Haya hii hapa mijitu ya Dar NedlloydMahakama ya Wilaya ya Temeke Jijini Dar es salaam imemhukumu ALLY SELEMANI IDDI kifungo cha miaka 30 jela baada ya kupatikana na hatia ya kosa la Kuzini na Maharimu (mtoto wake )
Hukumu hiyo imetolewa tarehe 25 Machi, 2025 na Hakimu Mkuu wa Mahakama ya Wilaya ya Temeke Mhe. Janeth Kaluyenda baada ya kuridhika na ushahidi uliotolewa kutoka upande wa Jamhuri.
Katika kesi hiyo ya Jinai namba 273/2023 Mtuhumiwa ambaye ni mkazi wa Wilaya ya Temeke Jijini Dar es salaam alikuwa anakabiliwa na shtaka la kuzini na maharimu kinyume na kifungu cha 158(1),(a)cha Sheria ya kanuni ya adhabu,(Sura ya 16 kama ilivyorejewa mwaka 2022).
Mshtakiwa alitenda kosa hilo katika mwaka 2022 na 2023 mwezi Agosti katika eneo la Mbagala Mianzini, wilaya ya Temeke ,Dar es salaam ambapo inaidaiwa alimwingilia kimwili mwanawe wa kumzaa na kumpa ujauzito kisha alimpa dawa za kutoa mimba.
Hajaanza leo, dunia kuna watu wa kila aina na wabaya zaidi ya haya wamefanyaDalili za mwishzo wa dunia
Nyie mna lutu wenu na wao wana lutu wao kwa hiyo tuliza mshono bwasheeNabii Lut (Amani iwe juu yake) hajawahi kulala na binti zake. Haya ni matusi tu ambayo mayahudi waliolaaniwa wamewatukana Mitume na Manabii wa Allah iliwemo Nabii Lut. Nabii Lut (Amani iwe juu yake) hakuwahi kufanya uchafu huo. Allah awalipe kinachowastahiki watu wote waliozusha uongo huo.
Dunia ina mengi ...Hiv mtu unamtamanije mwanao ina maana mtaani umekosa kabisa mwanamke
Ni kweli kabisa mkuuMwanadamu ni muhimu kuchunga mipaka baina yako na watu wako wa karibu......nyege hazitambui undugu au nasaba yako na huyo uliyeingia naye matamanio....awe mwanao wa kumzaa, shemeji yako, na hata mama/baba yako mzazi.....
Mambo haya huanzia kwenye ukaribu usiokuwa na mipaka baina ya mzazi na mtoto.....ukijumlisha na tamaa zilizokosa udhibiti unajikuta unafanya jambo la ajabu......
Watu wajitahidi kuchunga mipaka ya ukaribu ili kuleta adabu, heshima na utu........
Si vyema mwanaume na mwanamke wasiye kuwa wanandoa kuwa na ukaribu uliopitiliza bila kujali nasaba zenu.......
YakushangazaDunia ina mengi ...