Baljurashi
JF-Expert Member
- Dec 30, 2017
- 2,411
- 3,941
Nyie mna lutu wenu na wao wana lutu wao kwa hiyo tuliza mshono bwashee
Nabii Lut ni huyo huyo. Tunaamini Mitume na Manabii wote ikiwemo Lut (Amani iwe juu yake), na sisi tuna haki zaidi na Mitume hao kuliko wengine. Tunaumia tukisikia Mitume wa Allah wakiwemo Nuh, Ibrahim, Lut, Musa, Harun, Dawud, Sulayman na Yesu wanatukanwa matusi tena wamesingiziwa na mashetani na tunajiweka mbali na matusi hayo na tunamuomba Allah awalipe kinachowastahiki mashetani wote waliowatungia matusi Mitume wa Allah.
Mitume hawakufanya kabisa yale waliyosingiziwa.
Ni kawaida mayahudi waliolaaniwa kuwatukana Mitume wa Allah na hata kuwatukana watu wema wasafi (kama Mama Maryam, Amani iwe juu yake) na kuwasingizia uongo.