Jela miaka 30 kwa kuzini na Mwanae wa kumzaa

Hadithi ya lutu alipolala na mabinti zake wawili mbona haikua mwisho wa dunia kwenye ile riwaya?

Nabii Lut (Amani iwe juu yake) hajawahi kulala na binti zake. Haya ni matusi tu ambayo mayahudi waliolaaniwa wamewatukana Mitume na Manabii wa Allah iliwemo Nabii Lut. Nabii Lut (Amani iwe juu yake) hakuwahi kufanya uchafu huo. Allah awalipe kinachowastahiki watu wote waliozusha uongo huo.
 
We jamaa kule umesema mijitu ya mikoani ya ajabu! Haya hii hapa mijitu ya Dar Nedlloyd
Nedlloyd
 
Hizi cases mara nyingi huwa ma single father ndiyo hudandia binti zao.
 
Nyie mna lutu wenu na wao wana lutu wao kwa hiyo tuliza mshono bwashee
 
Ni kweli kabisa mkuu
Kuna watu humu wanaona mageni kwao ila yapo sana
Dunia ina kila uchafu na wengine wanafanya mabaya zaidi

Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo
Ukaribu wa ziada ni mbaya sio kwa mtoto tu hata kwa ndugu pia

Miaka ya 70 kuna kisa kiliacha watu midomo wazi kwani lilikuwa tukio lilolotokea mitaa yetu

Kijana alimpa mimba dada yake wa tumbo moja na kutokomea kusikojulikana kwa aibu

Hatukuwaona tena hao watoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…