Jela miaka 30 kwa kuzini na Mwanae wa kumzaa

kwanini adhabu apate pekee ake na hakuna kipengele kinaonesha alimbaka maana ake waridhia wote wahukumiwe
 
Kweli baadhi ya wanaume hawana tofauti na wanyama hivi hisia huwa zinatoka wapi kwa mwanao wa kumzaa
Msije singizia pepo kwa tamaa zenu
Akaozee jela
 
Kweli baadhi ya wanaume hawana tofauti na wanyama hivi hisia huwa zinatoka wapi kwa mwanao wa kumzaa
Msije singizia pepo kwa tamaa zenu
Akaozee jela
...Halafu Bado Tumlishe na Kumyweshs Maji Bure Kwa Miaka 30 Zumbukuku huyo ??? Hawa Watu wangekuwa wananyongwa TU ! [emoji35]
 
Hakika mkuu
 
Aisee....ndjo muyaone🤣🤣🤣
Mzee kala kuku na kifanga chake na kahakikisha ananyunyuzia kabisa kunako mbususu.
 
Again la kale kale kwenye biblia walikuwa wanawapiga mawe had kufa!
 
Amini ama usiamini hii michezo ipo sana, hasa kwenye familia hizi za kishua, wazazi kwa watoto wao, tena nahisi wa kike ndio wanaongoza.
 
Kweli baadhi ya wanaume hawana tofauti na wanyama hivi hisia huwa zinatoka wapi kwa mwanao wa kumzaa
Msije singizia pepo kwa tamaa zenu
Akaozee jela
Huyo binti alitoa wapi hisia za kulala na babake? Kumbuka, hatujaambiwa kwamba bwana Selemani alipatikana na hatia ya kumbaka mwanae.
 
Wapime DNA. Mara nyingi damu moja huwa haivutani. Mwanaume ameshajua kuwa huo ujauzito haukuwa wakwake akalea tu, kwenye cheti wamemuandika yeye ni baba ndio maana ina tafsiriwa kuwa baba mzazi amla mwanawe wa kumzaa.

Hizi kesi zianze kutazamwa kitaalamu ili kuepusha kuwa na mitazamo hasi kwa wanaume kumbe wanawake ndio chanzo cha huu upuuzi.

Mwanaume na huyo mtoto wapimwe DNA.
 
Ndio kusema kwamba mtoto wake huyo alikua mzuri sana au maji talizidi unga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…