Jela miaka 30 kwa kuzini na Mwanae wa kumzaa

Nyie mna lutu wenu na wao wana lutu wao kwa hiyo tuliza mshono bwashee

Nabii Lut ni huyo huyo. Tunaamini Mitume na Manabii wote ikiwemo Lut (Amani iwe juu yake), na sisi tuna haki zaidi na Mitume hao kuliko wengine. Tunaumia tukisikia Mitume wa Allah wakiwemo Nuh, Ibrahim, Lut, Musa, Harun, Dawud, Sulayman na Yesu wanatukanwa matusi tena wamesingiziwa na mashetani na tunajiweka mbali na matusi hayo na tunamuomba Allah awalipe kinachowastahiki mashetani wote waliowatungia matusi Mitume wa Allah.

Mitume hawakufanya kabisa yale waliyosingiziwa.

Ni kawaida mayahudi waliolaaniwa kuwatukana Mitume wa Allah na hata kuwatukana watu wema wasafi (kama Mama Maryam, Amani iwe juu yake) na kuwasingizia uongo.
 
Nyie mna dini yenu na mambo yenu na wao wana yao na mambo yao kwa hiyo hapo vunga bwashee
 
Ali umetuaibisha sisi tena ndani ya mwezi?
 
Imenikumbusha movie Girl in the basement
Baba kamfungia mwanae kwenye secret room for YEARS,kamzalisha

Comrade Intelligent businessman unaijua hiyo movie?
M-Austria anaitwa Josef Fritzl alimbaka mwanae chini ya nyumba (Basement) mara maelfu kwa miaka 24. Ili kuja butuka mwaka, 2008. Alimzalisha watoto 7 huko chini. Cha ajabu huyu bwana Josef alikuwa na mke mamake huyo mtoto lakini hakuwa na habari. To cut the story short.
 
Nafikiri ni true story ilikuwa hii
 
Hadi jina ulikariri hii inaonyesha uliumia kiasi jitu la mkoani.
Hizo thread zilifuatana,nilitoka kusoma ile ndio nikaja kusoma hii...endelea kuniita jitu la mkoani,ila hiyo Dar naijua kuliko wewe dogo
 
Angejitetea kwamba yeye ni mkulima na kwamba amelima shamba hivyo alikuwa anaonja zao lake kabla ya kulipeleka sokoni je kosa ndugu hakimu?
Nb:Ni Utani.
 
Yeah, movie ilikuwa na kitu kama hicho
 
Hizi tamaa nyingine za kijinga kabisa hivi wanawake waliojaa wote inakuwaje hadi unaamua kumla mwanao, ila wanaume hizo nyeg zenu ni mbaya sana💔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…