AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,047
Ndugu yangu video ya X PLASTAZ " NINI DHAMBI" ILICHEZWA HUKO 2009 NA G SAN AKAWA MTANZANIA WA KWANZA KU FEATURE BET TENA KWENYE CYPHER NA KINA KRS ONE NA AKACHANA KISWAHILI
SO , NO THANKS
Hao wasanii unajua wewe tu ila sisi watanzania tunamfahamu na kumtambua Diamond kama ndio msanii wa kwanza kuipaisha Tz BET.
Ukweli mchungu.
mwenzio alikuwa bado yuko mwanza mjini alikuwa hapajui msamehe! yeye anahisi kila anachofanya diamond ndo wakwanza kukifanya
View attachment 168620
Katika jambo lililotokea kama suprize flani hivi, kwa mara ya kwanza katika historia ya muziki wa bongo fleva, nyimbo ya Diamond Platnumz Mynumber1″ ilienda hewani jana kupitia television hiyo ya kimataifa ya BET, DiamondPlatnumz anaweka historia mpya tena kuonekana katika kituo hicho cha television, ikiwa haijawahi kutokea kwa mwanamuziki yeyote kutoka bongo kufikisha nyimbo yake level hizo na kufanikiwa kupigwa katika kituo hicho cha television kinachoangaliwa na maelfu ya watazamaji duniani kote. Diamond Platnumz amefungua pazia kwa dunia kuanza kuangalia vipaji vingine kutoka tzee, ikiwa huu ndio mwanzo tu wa mafanikio, akiwa ndiye msanii anayeongoza na kufungua kila njia ya historia mpya ya muziki wa bongo fleva.
Pia taarifa ya Ziada ni kuwa,week ijayo Diamond ataachia video mbili kwa mpigo,Bum bum aliyoimba na iyanya kwa lugha ya kiingereza,kulingana na lugha pia mahadhi yake..hii ni maalumu kwa soko la nje na tayri ilishaanza kuchezwa na vituo vikubwa vya nje(Trace,cHANNEL 0,HIP TV,etc) pia mdogo mdogo amabyo ni maalumu kwa ajili ya watanzania na Eat afrika kwa ujumla.Ahsanteni.
View attachment 168622View attachment 168623
Hao wasanii unajua wewe tu ila sisi watanzania tunamfahamu na kumtambua Diamond kama ndio msanii wa kwanza kuipaisha Tz BET.
Ukweli mchungu.
Watoto wa maskini wakipata wanashida Sana naona BET kaijua juzi
they are too low!!!
Hao wasanii unajua wewe tu ila sisi watanzania tunamfahamu na kumtambua Diamond kama ndio msanii wa kwanza kuipaisha Tz BET.
Ukweli mchungu.
Jamani huyu jamaa hata siku akifa mtatuambia ni Mtanzania wa Kwanza kufa
Kati ya hao Watanzania unaowasemea naomba mimi unitoe.
Wimbo mmoja tu wa My number one mnatuumiza vichwa humu na vithread uchwara,atoe mwingine mkali tena tujue kasimama kweli
Kati ya hao Watanzania unaowasemea naomba mimi unitoe.
View attachment 168620
Katika jambo lililotokea kama suprize flani hivi, kwa mara ya kwanza katika historia ya muziki wa bongo fleva, nyimbo ya Diamond Platnumz Mynumber1″ ilienda hewani jana kupitia television hiyo ya kimataifa ya BET, DiamondPlatnumz anaweka historia mpya tena kuonekana katika kituo hicho cha television, ikiwa haijawahi kutokea kwa mwanamuziki yeyote kutoka bongo kufikisha nyimbo yake level hizo na kufanikiwa kupigwa katika kituo hicho cha television kinachoangaliwa na maelfu ya watazamaji duniani kote. Diamond Platnumz amefungua pazia kwa dunia kuanza kuangalia vipaji vingine kutoka tzee, ikiwa huu ndio mwanzo tu wa mafanikio, akiwa ndiye msanii anayeongoza na kufungua kila njia ya historia mpya ya muziki wa bongo fleva.
Pia taarifa ya Ziada ni kuwa,week ijayo Diamond ataachia video mbili kwa mpigo,Bum bum aliyoimba na iyanya kwa lugha ya kiingereza,kulingana na lugha pia mahadhi yake..hii ni maalumu kwa soko la nje na tayri ilishaanza kuchezwa na vituo vikubwa vya nje(Trace,cHANNEL 0,HIP TV,etc) pia mdogo mdogo amabyo ni maalumu kwa ajili ya watanzania na Eat afrika kwa ujumla.Ahsanteni.
View attachment 168622View attachment 168623
Ndugu yangu video ya X PLASTAZ " NINI DHAMBI" ILICHEZWA HUKO 2009 NA G SAN AKAWA MTANZANIA WA KWANZA KU FEATURE BET TENA KWENYE CYPHER NA KINA KRS ONE NA AKACHANA KISWAHILI
SO , NO THANKs
Jamaa akishagundua ametoa boko harudigi tena..
Eh jamani ifike mahali hii hyper ya Diamond itulie. Kila kitu imekuwa ' kwa mara ya kwanza.....' au ' haijawahi kutokea sijui nini ' . Kwanini tunakuwa hivi?
Hizi sifa za kupitiliza ndio zinapelekea hata tunakuwa hatu perform zaidi kwa kulewa ulabu wa sifa.
Hebu maisha yaendelee na tuachane na huu nadiriki kuuitw ' ushamba' na ulimbukeni.
Ni kweli , kwa kiasi kijana anajitahidi ( na wala sina wivu maana huko aliko sio genre yangu kabisa , nina kazi yangu na vipaji vingine) lakini hii sifia ya kila saa mpaka tunakosea kumbe hatuna data za kutosha za nyuma. Mtu unasema ni mara ya kwanza kumbe wewe umeanza kutumia luninga au mtandao si muda mrefu na unafikiri ulichokiona tangu macho yako yamefunguka ndio mwanzo wa dunia/matukio kumbe vitu vipo tu.
Mwisho japo si kwa umuhimu, naomba kusema hivi, kutambulika kidunia ni vizuri lakini kwanini kuendeleza huu utumwa kuwa ukionekana BET au sijui kwenye TV gani umeula? Hivi ni lini tutafunguka akili jamani? Mtu akienda Ulaya , eti kaukata. Akienda Marekani huyo sio mwenzetu. Kwanini isiwe akienda KATAVI? au Tunduru?
Tubadilike.
Na nawatakia siku njema