jema lingine toka kwa Diamond-kwa mara ya kwanza BET wacheza video ya Tanzania

Ndugu yangu video ya X PLASTAZ " NINI DHAMBI" ILICHEZWA HUKO 2009 NA G SAN AKAWA MTANZANIA WA KWANZA KU FEATURE BET TENA KWENYE CYPHER NA KINA KRS ONE NA AKACHANA KISWAHILI
SO , NO THANKS

Hao wasanii unajua wewe tu ila sisi watanzania tunamfahamu na kumtambua Diamond kama ndio msanii wa kwanza kuipaisha Tz BET.

Ukweli mchungu.
 
View attachment 168620
Katika jambo lililotokea kama suprize flani hivi, kwa mara ya kwanza katika historia ya muziki wa bongo fleva, nyimbo ya Diamond Platnumz “Mynumber1″ ilienda hewani jana kupitia television hiyo ya kimataifa ya BET, DiamondPlatnumz anaweka historia mpya tena kuonekana katika kituo hicho cha television, ikiwa haijawahi kutokea kwa mwanamuziki yeyote kutoka bongo kufikisha nyimbo yake level hizo na kufanikiwa kupigwa katika kituo hicho cha television kinachoangaliwa na maelfu ya watazamaji duniani kote. Diamond Platnumz amefungua pazia kwa dunia kuanza kuangalia vipaji vingine kutoka tzee, ikiwa huu ndio mwanzo tu wa mafanikio, akiwa ndiye msanii anayeongoza na kufungua kila njia ya historia mpya ya muziki wa bongo fleva.
Pia taarifa ya Ziada ni kuwa,week ijayo Diamond ataachia video mbili kwa mpigo,Bum bum aliyoimba na iyanya kwa lugha ya kiingereza,kulingana na lugha pia mahadhi yake..hii ni maalumu kwa soko la nje na tayri ilishaanza kuchezwa na vituo vikubwa vya nje(Trace,cHANNEL 0,HIP TV,etc) pia mdogo mdogo amabyo ni maalumu kwa ajili ya watanzania na Eat afrika kwa ujumla.Ahsanteni.
View attachment 168622View attachment 168623

Jilaumu Sana kwa umaskini mlopitia hadi unawaabisha hivi...

You are very poor in thinking....

You are too low!!!!
 
HOD mbona haonekani kujibu hoja yeye ndo kaleta uzi aje na kujibu.
 
Wimbo mmoja tu wa My number one mnatuumiza vichwa humu na vithread uchwara,atoe mwingine mkali tena tujue kasimama kweli
 
Kati ya hao Watanzania unaowasemea naomba mimi unitoe.

Huyo sharcode sijui anamsifiaga ndomo mpaka naogopa, mmh aiseh huyo sio mzima, ebu atutolee upuuzi wake apa, akina jide wamepata tuzo za channel o na BBC mwaka 2006 haikuwa shida ivi ila huyu mbuta nanga wanatak kutuchosha tu apa
 
Wimbo mmoja tu wa My number one mnatuumiza vichwa humu na vithread uchwara,atoe mwingine mkali tena tujue kasimama kweli

I cant imagine nafasi ya davido ndo angeipata ndomo, wallah ningeama bongo
 
Mleta mada utakua lini? Ujue umeshapevuka? Sasa ulimbukeni wa nini? Tulia mwana kuna watu wameshafanya yote hayo lakini hawana ukelele na vigelegele kama wewe.
 
View attachment 168620
Katika jambo lililotokea kama suprize flani hivi, kwa mara ya kwanza katika historia ya muziki wa bongo fleva, nyimbo ya Diamond Platnumz “Mynumber1″ ilienda hewani jana kupitia television hiyo ya kimataifa ya BET, DiamondPlatnumz anaweka historia mpya tena kuonekana katika kituo hicho cha television, ikiwa haijawahi kutokea kwa mwanamuziki yeyote kutoka bongo kufikisha nyimbo yake level hizo na kufanikiwa kupigwa katika kituo hicho cha television kinachoangaliwa na maelfu ya watazamaji duniani kote. Diamond Platnumz amefungua pazia kwa dunia kuanza kuangalia vipaji vingine kutoka tzee, ikiwa huu ndio mwanzo tu wa mafanikio, akiwa ndiye msanii anayeongoza na kufungua kila njia ya historia mpya ya muziki wa bongo fleva.
Pia taarifa ya Ziada ni kuwa,week ijayo Diamond ataachia video mbili kwa mpigo,Bum bum aliyoimba na iyanya kwa lugha ya kiingereza,kulingana na lugha pia mahadhi yake..hii ni maalumu kwa soko la nje na tayri ilishaanza kuchezwa na vituo vikubwa vya nje(Trace,cHANNEL 0,HIP TV,etc) pia mdogo mdogo amabyo ni maalumu kwa ajili ya watanzania na Eat afrika kwa ujumla.Ahsanteni.
View attachment 168622View attachment 168623

Ndugu yangu video ya X PLASTAZ " NINI DHAMBI" ILICHEZWA HUKO 2009 NA G SAN AKAWA MTANZANIA WA KWANZA KU FEATURE BET TENA KWENYE CYPHER NA KINA KRS ONE NA AKACHANA KISWAHILI
SO , NO THANKs

Jamaa akishagundua ametoa boko harudigi tena..
 
achana nae mshamba wa maisha amshukuru diamond mana nahis mtaani kwao ye ndo mzungu wao mi sa hv namuona punguani tu!
 
Eh jamani ifike mahali hii hyper ya Diamond itulie. Kila kitu imekuwa ' kwa mara ya kwanza.....' au ' haijawahi kutokea sijui nini ' . Kwanini tunakuwa hivi?
Hizi sifa za kupitiliza ndio zinapelekea hata tunakuwa hatu perform zaidi kwa kulewa ulabu wa sifa.
Hebu maisha yaendelee na tuachane na huu nadiriki kuuitw ' ushamba' na ulimbukeni.

Ni kweli , kwa kiasi kijana anajitahidi ( na wala sina wivu maana huko aliko sio genre yangu kabisa , nina kazi yangu na vipaji vingine) lakini hii sifia ya kila saa mpaka tunakosea kumbe hatuna data za kutosha za nyuma. Mtu unasema ni mara ya kwanza kumbe wewe umeanza kutumia luninga au mtandao si muda mrefu na unafikiri ulichokiona tangu macho yako yamefunguka ndio mwanzo wa dunia/matukio kumbe vitu vipo tu.

Mwisho japo si kwa umuhimu, naomba kusema hivi, kutambulika kidunia ni vizuri lakini kwanini kuendeleza huu utumwa kuwa ukionekana BET au sijui kwenye TV gani umeula? Hivi ni lini tutafunguka akili jamani? Mtu akienda Ulaya , eti kaukata. Akienda Marekani huyo sio mwenzetu. Kwanini isiwe akienda KATAVI? au Tunduru?
Tubadilike.
Na nawatakia siku njema

Dah we jamaa umeongea point mpaka basi....Hata JK wa msoga hawezi na hatokaa aongee point kiasi hiki... Big up
 
Back
Top Bottom