AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,047
Huyo sharcode sijui anamsifiaga ndomo mpaka naogopa, mmh aiseh huyo sio mzima, ebu atutolee upuuzi wake apa, akina jide wamepata tuzo za channel o na BBC mwaka 2006 haikuwa shida ivi ila huyu mbuta nanga wanatak kutuchosha tu apa
Mkuu mi sio mshabiki mandazi bali napenda kuappreciate vya nyumbani siku zote iwe mpira au mziki.
hahahahaaa.... heaven on desert umebugi meeen....
no wonder huonekani siku hizi kumbe unatunga uongo....lol
Mods wa hili jukwaa ni mizigo type ya magamba. Hivi mtu ataletaje uongo first class humu na hatuoni thread kufungiwa wala wahusika wazembe kama H.O.D kupigwa ban au ndio rushwa zenyewe hizi? Mtu anaongopa mara1 ya pili ya tatu bado mnamuangalia tu.... Narudia tena MODS NI JANGA LA KITAIFA kutakuwa hakuna tofauti na Facebook humu wanakojazana mabeki tatu...kumbukeni huku ni GREAT THINKER ONLY
Ndugu yangu video ya X PLASTAZ " NINI DHAMBI" ILICHEZWA HUKO 2009 NA G SAN AKAWA MTANZANIA WA KWANZA KU FEATURE BET TENA KWENYE CYPHER NA KINA KRS ONE NA AKACHANA KISWAHILI
SO , NO THANKS
mi pia ntoe maana xplastaz nimeanza kuijua kitambo labda ye alianza kuujua mziki baada ya tanzania kuingia digitali
Wamejua mziki juzi...xplastaz ni habari mpya kwao...KRS1 ni kitendawili
Nia yake ni diamond aongelewe ili msimsahau akitoa single i-hit hata kama ni mbaya,na akiandika uongo ndo mtaongea zaidi,thats why post hua za uongo or controversial ili mkeshe mnaongea.
huyu mbulula hod angekuwa hapa mjini au bado hajaacha kunyonya kwa ***** wakati James dandu ndio ameingia bongo fresh from Sweden naona angepeleka kijambio chake kwa sababu ni wa mwanza.
Ndugu yangu video ya X PLASTAZ " NINI DHAMBI" ILICHEZWA HUKO 2009 NA G SAN AKAWA MTANZANIA WA KWANZA KU FEATURE BET TENA KWENYE CYPHER NA KINA KRS ONE NA AKACHANA KISWAHILI
SO , NO THANKs
Jamaa akishagundua ametoa boko harudigi tena..
Wabongo tatizo letu hatupendi kuona mafanikio ya wabongo wenzetu utafikiri wachawi bana...mnanikela sana aisee
hahaaaaaa afu akidanganya harudi tena mwanamme mzima hana cha kufanya yaani anajidhalilisha mpaka anatia kichefuchefu mwanamme gani huyooo....!