Aisee argument zako nimezikubali saaana hahah,so unaona kama hizo redio akiwa nazo ni nyingi saana na zitakua na wafanyakazi wengi kiasi ambacho atashindwa kuwa-manage,haha.
Jamaa angu kumbe kwny ubepari bado wewe hujaiva aisee,kwa hio hao wafanyakzi mia 4 unaowafikiria unaona ni wengi sana sio?
Hapo chini ni co's anazo zi-manage bakhressa na ujiulize anawezage kuzi-manage zote at per.
Azam Bakeries Co. Ltd
Azam Dairy Products Ltd
Azam FM Radio Ltd
Azam Football Club
Azam Insurance Agency Ltd
Azam Marine Co. Ltd
Azam Media Ltd
AzamPay Tanzania Ltd
Azam Polysack Ltd
Al Zenzibar Food Products Ltd
Bagamoyo Sugar Ltd
Bakhresa Food Products Ltd
Bakhresa Grain Milling (Rwanda)
Bakhresa Grain Milling (Burundi)
Bakhresa Grain Milling (Malawi)
Bakhresa Grain Milling (Uganda)
Bakhresa Grain Milling (Mozambique)
Bakhresa SA (Pty) Ltd
Coastal Fast Ferries
Kilimanjaro Fast Ferries Ltd
Hotel Verde Zanzibar -Azam Luxy Resort & spa Ltd
Omar Packaging Industries Ltd
Paper Kraft International Ltd
Reliable Properties Ltd (Real Estate)
Said Salim Bakhresa & Co. Ltd
Tradegents Ltd (Garments)
Tacona Holdings Ltd (Inland Container Depot)
Uhai Production Limited
United Group Limited
(Petroleum)Union Property Developers Ltd
Zanzibar Milling Cooperation Ltd
Nashangaa wewe unayeona eti hizo radio ni nyingi saaaaana mpk Kusaga atashindwa kuzi-manage hahah,au unadhani Co's Zinaendeshwa kama maduka ya watu binafsi.
Hihihihihihi ngoja nicheke kwanza mkuu hihihihihihi
Gharama ya kupata leseni ya TV kwa sasa hivi sio chini ya dola laki tatu hapo zamani miaka hiyo wanaanzisha 1999 na ITV 1995 ilikuwa dola laki 5.
.
Sasa hivi kuna vituo vya TV vingiiiiii na vimekuwa vingi kwa sababu urushaji wake nao umekuwa rahisi, unaanzisha kituo cha TV unanunua makorokoro yanayohitajika then unachagua Satellite unayotaka ikurushie matangazo yako kama ni SES au Eutelsat ni wewe hao ndio operator yani hata Clouds tv wakilala bado TV haiwezi kupotea hewani .
.
Million 28 na 23 ni pesa nyingi sana acha kuzichukulia poa ni mafao ya mtu uzeeni hayo, hata kama ana utajiri wa trillion 1 bado atapata tabu kuendesha vituo mnavyo mbambikizie, Clouds Fm na TV ndio zinaleta mapato makubwa sana kuliko kwingine kotee sasa atatoa mapato yake mfukoni au kutoka Clouds media aendeshee Jembe ni jembe?
.
Idadi ya wafanyakazi wa jembe ni jembe, Wasafi media, clouds media kwa ujumla wafanyakazi kama mia nne na ushehe hivi atawamudu?
.
Mwisho umesema yani kusaga akupe manpower kina Mchomvu na B12 waje kutrain kwenye radio yako eti ili akupe inspiration[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13] sidhani kama ulinielewa nadhani ulikuwa bado uko usingizini, Hao kina jembe ni jembe wamefanya kazi CMG, Wafanyakazi kibao wa wasafi media kama Mo town sanya mafundi wametoka CMG sasa akisema kuna mkono wake kwenye hizo media utakataa?
.
Jembe ni jembe ni kama mtoto wa clouds, mtu ambaye kasimama bila nguvu kutoka clouds ni majizo pale myu wa kutoka CMG ni mmoja tu Dinna marios