Jemedari Said: Simba anacheza mashindano bora kuliko Yanga, Magoli yake yana thamani kubwa kuliko ya Yanga

Yote ni mashindano ya mpira ambayo timu ikifanya vibaya inashushwa level ya chini yake, au unataka nikutolee mfano wa UEFA na EUROPA ndio utaelewa, yanalingana ubora yale?
Hapo kwenye ubora ndo utuambie ubora unapimwaje?
 
Huyo Lunatic nayeye arudishwe Milembe Kwa matibabu kwanza
 
Shirikisho pia wanacheza mpira kama klabu bingwa au mpira mnaotumia huko ni wa pembetatu si huku tunatumia wa duara?
Mpira ni ule ule ila Shirikisho kuna timu mbovu, zilizofeli Mabingwa na kushushwa huko
 
Ugumu pia unategemea na kundi ulilopo na ubora wa timu yako.
Sasa yanga mngekuwepo ligi ya mabingwa mngeifunga timu gani???kama vilaza vipers tu waliwatoa jasho,na vipers ndo vilaza wa mashindano yote
 
ngoja chawa wa gsm wake kubisha
 
Wewe mwenyewe umeridhika na hii Simba ya sasa inavyocheza?

Au hata timu ikicheza vibaya tuisifie kinafiki?
Sasa unataka timu iwe inacheza vizuri milele,timu gani ishawahi kuwa na good perfamance milele duniani,itaje kama ipo
 
Nadhani aliyemshauri mh rais ni kilaza,caf wenyewe wanajua kuwa shirikisho ni kwa waliofeli ndo mana hata zawadi hutofautiana achilia mbali points,sasa nashangaa hela zinatoka sawa sawa na waloshindwa fc
 
Sababu amekuchoma?
Hao jamaa huwa hawapendi kuambiwa ukweli,ku a jamaa anaitwa micky jr,jamaa wanamtusi sana kwente page yake kisa anasemaga ukweli tu,mtu kama bin kazumari huwa anasema ukweli tu,mara kibao huwa anaisema simba ila hutawahi kuskia wanasimba wanamtusi,sasa jamaa zetu sasa ,ka siku wanamtusi afu still wanamfollow
 
Bingwa wa shirikisho ndio bingwa wa jumla msimu uliopita msijisahaulishe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…