Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,237
- 31,811
Kundi la Simba timu tatu zote zimefika robo fainali kwenye kila msimu ziliposhiriki.Ugumu pia unategemea na kundi ulilopo na ubora wa timu yako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kundi la Simba timu tatu zote zimefika robo fainali kwenye kila msimu ziliposhiriki.Ugumu pia unategemea na kundi ulilopo na ubora wa timu yako.
Wewe ni shuhuda?Jemedari naye si ndio walewale kama afwande wa zenji, anakalia paipu za wanaume mjini...
Alimaanisha 9/4/2023 siku ya PASAKA. Siku ya Robertinho kuvurumishiwa mabegi yake.Hiyo 16 april kuna nn??ewe mr utopolo
Mafanikio ya soka ni kutwaa ubingwa(Vikombe) na huo ndo ubora mengine haya ni kujifariji tu. Mara unstopable mara kwa mkapa hatoki mtu! Leteni hicho kikombe cha ubingwa Africa.Kipimo pekee cha timu bora ni matokeo ya uwanjani, kama umecheza na timu home and away na kote huko hukuweza kuitoa, maana yake imekuzidi ubora
Au unataka kusema timu za ligi daraja la kwanza ni bora kuliko za ligi kuu?
Bora hata umeliona hilo kwa huyo mpenda kiki.Huyo nae ni bendera fata upepo
Unauliza kwa kutumia hoja ambazo hazina msingi wa kanuni na taratibu za mashindano husika cha ajabu unataka majibu ya taratibu za mashindano!Unadhani Yanga walionewa na CAF kupelekwa Shirikisho?
Manara atakuwa ndio kocha wao maana ana dalili zote za kama afandeJemedari naye si ndio walewale kama afwande wa zenji, anakalia paipu za wanaume mjini...
Wewe ndo unakalia hizo pipe Kwa sababu hajaongea uongo. Ungemjibu Kwa hoja. Full stop.Jemedari naye si ndio walewale kama afwande wa zenji, anakalia paipu za wanaume mjini...
Timu nzuri ipi? Tp mazembe aliyetolewa na Vipers au?TAAHIRA huyo. Anadhani timu alizopangiwa YANGA ingepangiwa timu lake bovu na kinyume chake angetoboa?
Labda wangemfunga yule ZALAN tu hata haya MAKUNDI YA LUZA wasingefika.
Ni kweli hata hivyo mama alitakiwa atofautishe kiwango. Goli moja la Simba alipe angalau M 10.Ukweli ni kwamba mashindano ya mabingwa ni magumu kuliko shirikisho.
Na sababu iko wazi: ukikwama mabingwa unaingizwa shirikisho
Sasa we na jemedari nani Taahira hapa.TAAHIRA huyo. Anadhani timu alizopangiwa YANGA ingepangiwa timu lake bovu na kinyume chake angetoboa?
Labda wangemfunga yule ZALAN tu hata haya MAKUNDI YA LUZA wasingefika.
Ndoto za Yanga msimu huu ilikuwa ni kushiriki hatua ya makundi ya Champions League, kushiriki tu, yaani wangefuzu hata kama wasingeshinda mechi hata moja kwao ingekuwa ni mafanikio makubwa sanaMafanikio ya soka ni kutwaa ubingwa(Vikombe) na huo ndo ubora mengine haya ni kujifariji tu. Mara unstopable mara kwa mkapa hatoki mtu! Leteni hicho kikombe cha ubingwa Africa.
Bila shaka wewe ndie Jemedari mwenyewe.Sasa we na jemedari nani Taahira hapa.
Ha ha ha ha habari yako, jeshi sijapita ujemedari ntautoa wapi.Bila shaka wewe ndie Jemedari mwenyewe.
Ni jina tu hilo kama wale wanaitwa NYOKA, MAPUNDA, CHUI, KATEMBO n.k hawana miguu minne wale wala hawatambai kwa kutumia tumbo.Ha ha ha ha habari yako, jeshi sijapita ujemedari ntautoa wapi.
Ha ha ha tuchekege tunenepege.Ni jina tu hilo kama wale wanaitwa NYOKA, MAPUNDA, CHUI, KATEMBO n.k hawana miguu minne wale.