Jemedari Said: Simba anacheza mashindano bora kuliko Yanga, Magoli yake yana thamani kubwa kuliko ya Yanga

Jemedari Said: Simba anacheza mashindano bora kuliko Yanga, Magoli yake yana thamani kubwa kuliko ya Yanga

Kipimo pekee cha timu bora ni matokeo ya uwanjani, kama umecheza na timu home and away na kote huko hukuweza kuitoa, maana yake imekuzidi ubora

Au unataka kusema timu za ligi daraja la kwanza ni bora kuliko za ligi kuu?
Mafanikio ya soka ni kutwaa ubingwa(Vikombe) na huo ndo ubora mengine haya ni kujifariji tu. Mara unstopable mara kwa mkapa hatoki mtu! Leteni hicho kikombe cha ubingwa Africa.
 
Unadhani Yanga walionewa na CAF kupelekwa Shirikisho?
Unauliza kwa kutumia hoja ambazo hazina msingi wa kanuni na taratibu za mashindano husika cha ajabu unataka majibu ya taratibu za mashindano!
Kwa msingi huo mbona SIMBA yenu inacheza club bingwa ilihari hakua bingwa kwenye ligi!
acheni maneno ni wazi kabisa mafanikio ya soka ni vikombe, mengine ni kujifariji tu kama munaubora leteni hicho kikombe! Siyo mara unstopable mara kwa mkapa hatoki mtu. Hivi sasa hivi munasemi gani?
 
Hapo ameongea kitu sahihi kabisa nashangaa yanga akishinda katibu tawala mkuu wa wilaya na wakuu wa mikoa wanatoa hela wakati team inashiriki kombe la looser wanamcheka simba kupigwa tatu na raja Casablanca kweli wale jamaa wenye akili ni wawili tu kule na wameshaanza kuzeeka.
 
Mafanikio ya soka ni kutwaa ubingwa(Vikombe) na huo ndo ubora mengine haya ni kujifariji tu. Mara unstopable mara kwa mkapa hatoki mtu! Leteni hicho kikombe cha ubingwa Africa.
Ndoto za Yanga msimu huu ilikuwa ni kushiriki hatua ya makundi ya Champions League, kushiriki tu, yaani wangefuzu hata kama wasingeshinda mechi hata moja kwao ingekuwa ni mafanikio makubwa sana

Sasa nyie wala mihogo msiojua chochote mnakuja kubwatuka
 
Issue nzima ya kutoa pesa kwa magoli ni upuuzi tu, huo ndiyo UKWERI.

Kesho kwenye robo fainali timu moja ikifungwa 5-1 tena za mikwaju ya penati nyingine ikashinda 1-0, wote wanapewa pesa sawa. Na siku hizi timu hazichezi tu kufunga magoli zinacheza kwa malengo. Unaweza kupiga kimoja, ukaona njia nzuri ni kupaki basi siyo kuzitafuta milioni 5 zingine huku ukijiweka hatarini kupigwa bao.

Narudia, ni upuuzi tu.
 
Back
Top Bottom