GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Na Mimi GENTAMYCINE nasema kama kuna mwana Yanga SC hapa mwenye Picha za Gael Bigirimana akiupiga mwingi Ligi Kuu ya Uingereza tena akiwa Timu ya Newcastle United FC kama tulivyoaminishwa tafadhali aniwekee hapa ili nijiridhishe.
Nimejaribu Kuulizia kwa Rafiki na Ndugu zangu baadhi waishiyo nchini Uingereza (tena wote sasa wana miaka 20 hadi 25 ) wako huko na ni Watu wa Mpira sana kama nilivyo GENTAMYCINE wameniambia kuwa Newcastle United FC hawajawahi kuwa na Mchezaji Raia wa Burundi aitwae Gael Bigirimana labda ile Newcastle United FC ya Wachuuzi na Madereva wa Teksi ambao huwa na Timu yao na huvalia Jezi za Newcastle United FC ya Premier League.
Baada ya kulijua hili sasa GENTAMYCINE naungana na Kauli ya Mhamasishaji Mkuu wa Yanga SC Haji Manara kuwa Yanga SC nzima (aliko sasa nae akiwemo) wenye Akili (aliisema hata katika Interview na Sports Headquarters ya EFM) ni Rais Mstaafu Kikwete na Baba yake Mzazi tu Mzee Manara na waliobakia wote ( nae akiwemo ) hawana kabisa Akili.
Yaani Mchezaji wa Premier League ya Uingereza tena akiichezea Klabu ya Waingereza Asilia ya Newcastle United FC aje Kukaa Benchi NBC Premier League ya Tanzania huku akizidiwa Kiuwezo na hata na Zawadi Mauya au na Aboubakary Salum Sure Boy?
Wana Yanga SC mliokotwa kweli kweli na Uongozi wenu ( akina Injinia Hersi Said Rais wenu ) juu ya huyu Mbeba Maboksi Uingereza Gael Bigirimana ambaye sasa ni rasmi kuwa ndiye Mchezaji pekee wa Kigeni aliyepunguzwa ili kubakia na idadi ya Wachezaji 12 wa Kigeni wanaotakiwa Kikanuni na Kisheria pia.
Haya nasubiri sasa Mapovu yenu Ok?