Jemedari Said wa EFM: Gael Bigirimana hakuwahi Kucheza Ligi Kuu ya Uingereza, wana Yanga SC walidanganywa pakubwa

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Na Mimi GENTAMYCINE nasema kama kuna mwana Yanga SC hapa mwenye Picha za Gael Bigirimana akiupiga mwingi Ligi Kuu ya Uingereza tena akiwa Timu ya Newcastle United FC kama tulivyoaminishwa tafadhali aniwekee hapa ili nijiridhishe.

Nimejaribu Kuulizia kwa Rafiki na Ndugu zangu baadhi waishiyo nchini Uingereza (tena wote sasa wana miaka 20 hadi 25 ) wako huko na ni Watu wa Mpira sana kama nilivyo GENTAMYCINE wameniambia kuwa Newcastle United FC hawajawahi kuwa na Mchezaji Raia wa Burundi aitwae Gael Bigirimana labda ile Newcastle United FC ya Wachuuzi na Madereva wa Teksi ambao huwa na Timu yao na huvalia Jezi za Newcastle United FC ya Premier League.

Baada ya kulijua hili sasa GENTAMYCINE naungana na Kauli ya Mhamasishaji Mkuu wa Yanga SC Haji Manara kuwa Yanga SC nzima (aliko sasa nae akiwemo) wenye Akili (aliisema hata katika Interview na Sports Headquarters ya EFM) ni Rais Mstaafu Kikwete na Baba yake Mzazi tu Mzee Manara na waliobakia wote ( nae akiwemo ) hawana kabisa Akili.

Yaani Mchezaji wa Premier League ya Uingereza tena akiichezea Klabu ya Waingereza Asilia ya Newcastle United FC aje Kukaa Benchi NBC Premier League ya Tanzania huku akizidiwa Kiuwezo na hata na Zawadi Mauya au na Aboubakary Salum Sure Boy?

Wana Yanga SC mliokotwa kweli kweli na Uongozi wenu ( akina Injinia Hersi Said Rais wenu ) juu ya huyu Mbeba Maboksi Uingereza Gael Bigirimana ambaye sasa ni rasmi kuwa ndiye Mchezaji pekee wa Kigeni aliyepunguzwa ili kubakia na idadi ya Wachezaji 12 wa Kigeni wanaotakiwa Kikanuni na Kisheria pia.

Haya nasubiri sasa Mapovu yenu Ok?
 
Jamaa unachojua ni simba tu upo mweupe sana kwenye michezo anga za kimataifa, kinachokubeba humu jukwaani ni porojo na kuropoka pamoja na uongo ambao unashabikiwa sana na jamii kubwa ya watanzania thus why unajikuta kuna watu wanakushabikia kumbe ni sample za wale watanzania wapenda majungu, porojo na umbea.

images - 2023-01-23T104635.783.jpeg
 
images - 2023-01-23T104614.653.jpeg

Wewe na huyo Jemedari Saidi wote hamna akili ni washamba na wajuaji fulani hivi ambao vichwa vyenu kwa asilimia kubwa vimejaa takataka za usimba na uyanga, yule jamaa na wewe tukiwaambia haya chambueni ligi kuu ya EPL hata mechi moja au player profile ya mchezaji mmoja mmoja nawahakikishia hamfikishi dakika moja nyie wallahi
 
Na Mimi GENTAMYCINE nasema kama kuna mwana Yanga SC hapa mwenye Picha za Gael Bigirimana akiupiga mwingi Ligi Kuu ya Uingereza tena akiwa Timu ya Newcastle United FC kama tulivyoaminishwa tafadhali aniwekee hapa ili nijiridhishe.

Nimejaribu Kuulizia kwa Rafiki na Ndugu zangu baadhi waishiyo nchini Uingereza ( tena wote sasa wana miaka 20 hadi 25 ) wako huko na ni Watu wa Mpira sana kama nilivyo GENTAMYCINE wameniambia kuwa Newcastle United FC hawajawahi kuwa na Mchezaji Raia wa Burundi aitwae Gael Bigirimana labda ile Newcastle United FC ya Wachuuzi na Madereva wa Teksi ambao huwa na Timu yao na huvalia Jezi za Newcastle United FC ya Premier League.

Baada ya kulijua hili sasa GENTAMYCINE naungana na Kauli ya Mhamasishaji Mkuu wa Yanga SC Haji Manara kuwa Yanga SC nzima ( aliko sasa nae akiwemo ) wenye Akili ( aliisema hata katika Interview na Sports Headquarters ya EFM ) ni Rais Mstaafu Kikwete na Baba yake Mzazi tu Mzee Manara na waliobakia wote ( nae akiwemo ) hawana kabisa Akili.

Yaani Mchezaji wa Premier League ya Uingereza tena akiichezea Klabu ya Waingereza Asilia ya Newcastle United FC aje Kukaa Benchi NBC Premier League ya Tanzania huku akizidiwa Kiuwezo na hata na Zawadi Mauya au na Aboubakary Salum Sure Boy?

Wana Yanga SC mliokotwa kweli kweli na Uongozi wenu ( akina Injinia Hersi Said Rais wenu ) juu ya huyu Mbeba Maboksi Uingereza Gael Bigirimana ambaye sasa ni rasmi kuwa ndiye Mchezaji pekee wa Kigeni aliyepunguzwa ili kubakia na idadi ya Wachezaji 12 wa Kigeni wanaotakiwa Kikanuni na Kisheria pia.

Haya nasubiri sasa Mapovu yenu Ok?
Kichaa kimepanda tayari
 
Hakika umejibiwa kwa ushahidi wa waziwazi
 
Alivyokuwa akiongea kiswahili cha tandale kuwa kaacha kujiunga Real Madrid ili ajiunge timu ya ndoto yake uto nikajua hapa tumepigwa, alicheza epl kweli ila ni mgonjwa na madaktari walimzuia kucheza sema njaa tu
 
Mi sishangai jamaa kucheza Newcastle ninacho shangaa ni kutoka kucheza Newcastle had kuja kucheza yanga kashindwa kupambana hata aende league 1 au serie A hadi aje ligi ya TFF? Huyu mwamba ni miongoni mwa mifano ya maanguko makubwa sana yaliyowapata binadamu maana alipata kila kitu ila kakosa akili.
 
Na Mimi GENTAMYCINE nasema kama kuna mwana Yanga SC hapa mwenye Picha za Gael Bigirimana akiupiga mwingi Ligi Kuu ya Uingereza tena akiwa Timu ya Newcastle United FC kama tulivyoaminishwa tafadhali aniwekee hapa ili nijiridhishe.

Nimejaribu Kuulizia kwa Rafiki na Ndugu zangu baadhi waishiyo nchini Uingereza ( tena wote sasa wana miaka 20 hadi 25 ) wako huko na ni Watu wa Mpira sana kama nilivyo GENTAMYCINE wameniambia kuwa Newcastle United FC hawajawahi kuwa na Mchezaji Raia wa Burundi aitwae Gael Bigirimana labda ile Newcastle United FC ya Wachuuzi na Madereva wa Teksi ambao huwa na Timu yao na huvalia Jezi za Newcastle United FC ya Premier League.

Baada ya kulijua hili sasa GENTAMYCINE naungana na Kauli ya Mhamasishaji Mkuu wa Yanga SC Haji Manara kuwa Yanga SC nzima ( aliko sasa nae akiwemo ) wenye Akili ( aliisema hata katika Interview na Sports Headquarters ya EFM ) ni Rais Mstaafu Kikwete na Baba yake Mzazi tu Mzee Manara na waliobakia wote ( nae akiwemo ) hawana kabisa Akili.

Yaani Mchezaji wa Premier League ya Uingereza tena akiichezea Klabu ya Waingereza Asilia ya Newcastle United FC aje Kukaa Benchi NBC Premier League ya Tanzania huku akizidiwa Kiuwezo na hata na Zawadi Mauya au na Aboubakary Salum Sure Boy?

Wana Yanga SC mliokotwa kweli kweli na Uongozi wenu ( akina Injinia Hersi Said Rais wenu ) juu ya huyu Mbeba Maboksi Uingereza Gael Bigirimana ambaye sasa ni rasmi kuwa ndiye Mchezaji pekee wa Kigeni aliyepunguzwa ili kubakia na idadi ya Wachezaji 12 wa Kigeni wanaotakiwa Kikanuni na Kisheria pia.

Haya nasubiri sasa Mapovu yenu Ok?
Kuna vitu huwa mnapost mpaka marafiki zenu tunaona aibu. Yaani Jemadari Said ndo wa kuchukua habari yake na kuitangaza? Huyo na Kitenge wala si wa kuwatilia maanani. Utaaibika Kwa kufuatisha akili za wasio na akili. Mtu anapost ujinga kutafuta followers.
 
Back
Top Bottom