Jenerali Kayumba Nyamwasa anusurika kifo, Kagame anazidi kumwandama?

...kama aliweza kuwaua wakina habrarimana na wenzake,akammaliza kabika mkubwa na sasa anamtaka jk,hao wengine ni pangusa vumbi tu. The man is killing the presidents kama atakavyo...
 
Kagame akumbuke pua yake imeangalia chini hivyo atakufa tu siku moja maadui zake atawaacha hai , pia ajue watanzania tunajua kama alimuua mwaikusa , hatumpendi kabisa ee mungu mwangalie huyu anayekatisha uhai wa binadamu wako uliowaleta duniani
 
Mataifa makubwa wamsaidie mwanawasa juu ya usalama wake kagame atamuua kama yule aliyemuua hotelini
 
Chadema haiendeshwi kwa misingi hio ndugu hiyo ni ccm yenye misingi ya kukolimba watu

Damu ya CHACHA WANGWE bado i mikononi mwenu hata mnawe na kujisafisha vp hamtakuwa wasafi kamwe!!!
 
Hiyo ni kawaida ulimwenguni kote, ukiwa mfanyakazi wa idara nyeti ya inteligensia,harafu ukakimbilia ughaibuni,nchi yako lazima ikutafute ili ikuondoe usije ukamwaga siri za nchi hadharani,

Unamanisha hata yule TISS wetu CHAHALI ipo siku atakufa tu ?
 

Hata akifanikiwa kumuua Generali Nyamwasa, bado Kagame hawezi kuwa salama kama anavyodhania, wanaopinga uongozi wake ni wengi sana na kamwe hawezi kuwamaliza kabla hawaja mmaliza yeye.
 
Sasa kwa nini Nyamwasa asimwage siri hadharani kabla hajauwawa?
...kunasiri nyingine badala ya kujenga zitabomoa,amani ni muunganiko wa vitu vingi sana vizuri na vibaya...
 

Kaguta
Kayumba ni mwanajeshi mkubwa na mzoefu, Kwa Hali ilivyo anajua maadui wake na hasa wale Ndugu na wafuasi wa marehemu Patrick Nyamwasa amabeya sasa inaonekana aliuliwa na Kundi la Kayumba baada ya kugombania madaraka na Nyamwasa kushinda. Mpaka mauti inamkuta hawakuwa hata wakiongea. My take ni kuwa Kayumba hayupo Salama ndani ya kundi la Nyamwasa. Itakuwa nivigumu Kwa majasusi waliotumwa na serikali ya kagame kummaliza General hatari fugitive wa kijeshi na wamkose kifala hivyo na bado waingie ndani ya nyumba yake na kuharibu vyombo Vya ndani, let's think outside the box. Jamaa Anatengeneza scene ya kuishawishi serikali ya South Africa imwongeze ulinzi hasa board guards maana adui zake hapo wanamsaka kinoma. Labda anafanya mkakati wa hifadhi ya kisiasa marekani mbali kidogo na Africa. Beside that it's very hard for any CDF in any given country in the world to betray your government and live peaceful.
 
Hata akifanikiwa kumuua Generali Nyamwasa, bado Kagame hawezi kuwa salama kama anavyodhania, wanaopinga uongozi wake ni wengi sana na kamwe hawezi kuwamaliza kabla hawaja mmaliza yeye.

Kuua maadui wengi kabla hawajakuua ni ushindi pia sababu hata usipoua kama ni maadui kweli watakuua tu!!!!!!
 

Inawezakana yote na inawezekana pia kuwa waliongia ni "assassins" khaswaaa ila baada ya kumiss target wakaamua ku contaminate scene ili kuondoa any smell of professionalism!!!!!

In a way yeye anajua by a mental picture kila lilnalomkabili, sababu ya hayo na njia ya kuokoka au kufa.......he probably knows that the bullet will be placed in the skull or in one of chambers of his very heart!!!!!

Ujasusi upo na utaendelea kuwepo
 

kumuua raia kama ilivyofanywa kwa prof.siyo ishu inayohitaji utaalamu wa hali ya juu wengi tu hapa tz wanauawa vifo visivyoeleweka
 
Mataifa makubwa wamsaidie mwanawasa juu ya usalama wake kagame atamuua kama yule aliyemuua hotelini

We N'gosi Mwene,
Mwanawasa ni marehemu.
Huyu anayesakwa na Kagame ni Kayumba Nyamwasa.
 
sisi ametusaidia tu, kusudi ikifika wakati wa kumtoa roho, kagame muuaji wa wanajeshi wetu DRC congo, iwe rahisi kumtoa roho. kwa sasa tunawaomba marafiki zetu waache lugha ya kutupatanisha na kagame. hatuna ugomvi na wanyarwanda, tunaitaka roho ya kagame tu.
 
Hata akifanikiwa kumuua Generali Nyamwasa, bado Kagame hawezi kuwa salama kama anavyodhania, wanaopinga uongozi wake ni wengi sana na kamwe hawezi kuwamaliza kabla hawaja mmaliza yeye.

nakuunga mkono , hata KULIPOTOKEA TETESI KWAMBA AMEPINDULIWA , KIGALI NZIMA ILIRIPUKA KWA SHANGWE !
 

mkuu , huo ni msimamo wa KITAIFA au ni MSIMAMO WA CHAMA CHENU CCM ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…