Eng. Zezudu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 8,024
- 11,546
Ni ujinga kulilia mwanaume kutoa machozi, uongozi ni kupokezana kijiti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bangi za asubuhi siyo nzuri.kweli umehudumia taifa kwa kiwango Cha kutukuka nenda tu kajipumzikie huko mashambani ukalime na kufuga mifugo Ila nikikuangalia usoni nabaki natoa machozi.
View attachment 2252811
Shida nini kijana.....au hamtaki ngosha mwenzenu astaafukweli umehudumia taifa kwa kiwango Cha kutukuka nenda tu kajipumzikie huko mashambani ukalime na kufuga mifugo Ila nikikuangalia usoni nabaki natoa machozi.
View attachment 2252811
Bangi za asubuhi siyo nzuri.kweli umehudumia taifa kwa kiwango Cha kutukuka nenda tu kajipumzikie huko mashambani ukalime na kufuga mifugo Ila nikikuangalia usoni nabaki natoa machozi.
View attachment 2252811
Hiyo hata wewe unaweza kusomea naongelea ujuzi alio ingilia jeshini mfano;Either ana degree ya marine,au Communication au Accounts n.k.Mafunzo ya intelijensia ya kijeshi Pongyang,India,USA na kwingineko.
"Imezuiliwa"Siku nyingine usiandike Taarifa za Jeshi
Mcheza mpira wa kikapu.Hiyo hata wewe unaweza kusomea naongelea ujuzi alio ingilia jeshini mfano;Either ana degree ya marine,au Communication au Accounts n.k.
Kihistoria, wakuu wote wa majeshi waliotangulia walitoka miongoni mwa maofisa waliokuwa jeshini wakati wa uteuzi.
1.Kulinda mipaka ya nchiUnafiki tu, hata alietoka kabla ya huyu mlisema hivyo hivyo,, tatizo huwa mbadhani, jeshi ndo linaendesha nchi,, kazi ya jeshi ni kulinda mipaka ya nchi hii kutoka matishio ya nje,,
Nchi haiendeshwi na jeshi,, wala jeshi halilindi sheria au katiba. Hiyo ya sheria ni kazi ya polisi, Law Enforcement
MKUUMteuwaji asisahau kuwa Wakristo ( tena wa Katoliki ) ndiyo huwa CDF ( japo katika Madhehebu mengine ) anaweza Kuokoteza okoteza lakini asiwekwe hapo wa Dini yake Mteuwaji.
Najua kuna mtakaonishangaa na Kunishambulia ila GENTAMYCINE nasisitiza ni lazima CDF aje ( kwa sababu ambazo ni za Ndani kabisa ) awe ni Mkristo kutoka Dhehebu lenye Nguvu na Ushawishi Tanzania na Duniani la Katoliki.
Ukikereka na nilichokiandika Koroga Sumu ya Panya unywe na Ukishainywa jipige Kofi la Kutukuka na jiite Popoma.
Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa JKT meja jenerali Rajabu Mabele
Kufuatana na muundo wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania chini ya Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama kuna maafisa wakuu wa juu wafuatao :
HABARI TOKA MAKTABA MTANDAONI
Luteni Jenerali Mathew E. Mkingule ni Mnadhimu Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi wa 14 tangu alipoteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa awamu ya sita Mhe. Samia Suluhu Hassan tarehe 21 Agosti, 2021.
Muundo wa TPDF kuna wakuu wafuatao wa kamandi 5 source : Mwanzo-Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania
- Rear Admiral Michael Mwanandenje Mumanga aliteuliwa kuongoza Kamandi ya Jeshi la Wanamaji kuanzia Aug 2021 hadi sasa.
- Kamandi ya nchi kavu Meja Jenerali Meja Jenerali Anthony Chacha Sibuti
- Meja Jenerali Shabani B. Mani aliteuliwa kuwa Kamanda wa Jeshi la Anga kuanzia tarehe 23 Aug 2021 hadi sasa
- Meja Jenerali Rajabu Mabele mkuu wa JKT kuanzia tarehe 19 May 2021 hadi sasa
- Kamandi ya MMJ Vikosi chini ya Makao Makuu ya Jeshi Meja Jenerali Ramson Godwin Mwaisaka kuanzia tarehe 01 Jun 21, baada ya kupandishwa cheo kipya kuwa Meja Jenerali
- Mkuu wa Utumishi Jeshini Meja Jenerali Paul Kisesa Simuli
- Mkuu wa Chuo Cha Ulinzi wa Taifa-NDC Meja Jenerali Ibrahim Mhona