Jenerali Mabeyo amuaga Rais Mwinyi. Ajiandaa kustaafu June 2022

Jenerali Mabeyo amuaga Rais Mwinyi. Ajiandaa kustaafu June 2022

Akapumzike mzee wetu aliachiwa nchi ktk sintofaham nadhani hakuna Jeneral aliyepata changamoto km yeye katika historia ya nchi hii
Mmmh una miaka mingapi kaka,kuna waliopigana vita ya Uganda.
 
Mmmh una miaka mingapi kaka,kuna waliopigana vita ya Uganda.
mfumo wa nchi yetu kuna amiri jeshi mkuu ambaye ndio rais kwahiyo hata hiyo vita ya Uganda kiongozi mkuu alikuwa ni Rais yeye Jeneral alikuwa akifuata amri tu
 
mfumo wa nchi yetu kuna amiri jeshi mkuu ambaye ndio rais kwahiyo hata hiyo vita ya Uganda kiongozi mkuu alikuwa ni Rais yeye Jeneral alikuwa ila

mfumo wa nchi yetu kuna amiri jeshi mkuu ambaye ndio rais kwahiyo hata hiyo vita ya Uganda kiongozi mkuu alikuwa ni Rais yeye Jeneral alikuwa akifuata amri tu
Kwani ni wapi Mabeyo alikuwa hafuati amri ya aliye juu yake.
 
Kila La Heri Afande Chief Of Defence Force Mabeyo

Muda Wako Sasa Wa Kupumzika Na Kurejea Kwenye Imani Zaidi Na Zaidi. Jambo La Heri Na Shukrani Kwa Mungu Kumaliza Utumishi Wako

Kwani ni wapi Mabeyo alikuwa hafuati amri ya aliye juu yake.
pale wa juu yake alipofariki ilibidi awe na tahadhari kubwa sana ili nchi isiingie kwenye machafuko kutokana na taharuki iliyotokea
 
pale wa juu yake alipofariki ilibidi awe na tahadhari kubwa sana ili nchi isiingie kwenye machafuko kutokana na taharuki iliyotokea
Katiba inasema makam ndo anakuwa rais,hakukua na changamoto yoyote sababu hakuna hata risasi moja iliyolia.Labda hujui changamoto anayopitia cdf nchi ikiingia vitani au ikishambuliwa.rais hutoa order tu tena baada ya kushauriana na CDF.Kila CDF anayekuwa madarakani huomba yasimkute
 
Jamaa akirudisha jeshi la kizamani lile la kuishi kambini kula kambini kufuatwa na magari asubuhi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Asante kwa utumishi wako Gen Mabeyo. Umeishi kwa mfano sio jeshini tu lakini hata mtaani! Mcha Mungu kwelikweli na mwandishi wa vitabu vya kiroho. Lakini pia ukijichanganya na raia kwenye maisha ya kawaida.

Kubwa kabisa ni kutuvisha salama baada ya kifo cha chuma.
 
Back
Top Bottom