Jenerali Mkunda: Wastaafu JWTZ Epukeni Siasa

Jenerali Mkunda: Wastaafu JWTZ Epukeni Siasa

TOKA MAKTABA :
Wanasiasa wa CCM siku walipostaafu utumishi wao kwa JWTZ, Oktoba 1992. Ni kanali Abdulrahman Omar Kinana na luteni kanali Jakaya Mrisho Kikwete

TAZAMA PICHA YA RAISI KIKWETE AKIWA JESHINI NA KINANA, KISHA KUSTAAFU​



Jakaya Mrisho Kikwete Luteni Kanali Mstaafu au Retired Lieutenant Colonel na Abdulrahman Omari Kinana Kanali Mstaafu au Retired Colonel, siku ya kuhitimisha na kustaafu utumishi wao kwa JWTZ, Oktoba 1992.

Hii ilikuwa ni miezi mitatu tangu kutangazwa kuanza rasmi kwa mfumo wa vyama vingi nchini Tanzania, Jumatano Julai 1, 1992
Weka na Ngemela Lubinga wa CCM mkuu.
 
..wakistaafu wana ruhusa ya kushiriki active politics.

..Major General Marco Mwita Marwa aliwahi kujiunga na Chadema kabla Mkapa hajambembeleza arudi Ccm.

..Major Hassy Kitine, Mkuu wa usalama wa taifa mstaafu, aligombea ubunge wa Makete kupitia Ccm.

General Robert Mboma, Cdf mstaafu, aliomba ridhaa ya Ccm kugombea ubunge baada ya kustaafu.

..Brig Gen Hassan Ngwilizi alikuwa mbunge na Naibu Katibu Mkuu wa Ccm.

..Brig.Gen, Jaji Mkuu Mstaafu, Agustino Ramadhani, alijiunga na Ccm baada ya kustaafu, na kuomba ridhaa kugombea Uraisi kupitia chama hicho.

..Hivi General Mkunda anajua sheria na taratibu za nchi hii kuzidi watajwa hapo juu?
Public utterances zake zimemuexpose kutokuwa thinker au learned in any form.
 
..wakistaafu wana ruhusa ya kushiriki active politics.

..Major General Marco Mwita Marwa aliwahi kujiunga na Chadema kabla Mkapa hajambembeleza arudi Ccm.

..Major Hassy Kitine, Mkuu wa usalama wa taifa mstaafu, aligombea ubunge wa Makete kupitia Ccm.

General Robert Mboma, Cdf mstaafu, aliomba ridhaa ya Ccm kugombea ubunge baada ya kustaafu.

..Brig Gen Hassan Ngwilizi alikuwa mbunge na Naibu Katibu Mkuu wa Ccm.

..Brig.Gen, Jaji Mkuu Mstaafu, Agustino Ramadhani, alijiunga na Ccm baada ya kustaafu, na kuomba ridhaa kugombea Uraisi kupitia chama hicho.

..Hivi General Mkunda anajua sheria na taratibu za nchi hii kuzidi watajwa hapo juu?
Mkuu umelidadavua vyema!
 
Akinadi ilani ya CCM

TPDF (JWTZ) Army spin-doctor dismisses voter card seizure allegations​

Saturday, August 15, 2015

1783770225680.jpeg


"two-faced" describes a person who is insincere, deceitful, or hypocritical.

1783770332650.jpeg

Tanzania People’s Defence Forces Information and Public Relations Director Col Ngemela Lubinga gestures as he speaks to journalists in Dar es Salaam yesterday. PHOTO | VENANCE NESTORY
 

What Tanzania needs is development not new Constitution: Col. Lubinga​

Wednesday, September 13, 2017 — updated on March 31, 2021 - 10 min read
1783770596376.jpeg

Lt Colonel Ngemela Lubinga CCM's Secretary of Political Affairs and International Relations,in an exclusive interview with MCLjournalists last week. PHOTO | SAID KHAMIS
 
Toka maktaba

06 December 2021

UONGOZI WA UVCCM CHUO KIKUU CHA KAMPALA

KANALI LUBINGA AFANYA MAZUNGUMZO NA UONGOZI WA UVCCM CHUO KIKUU CHA KAMPALA​








Katibu wa NEC- Siasa na uhusiano wa Kimataifa, kanali mstaafu Ngemela Lubinga leo amekutana na kufanya mazungumzo na Uongozi wa Tawi la UVCCM Chuo Kikuu cha Kampalaukiongozwa na Mwenyekiti wake Ndugu Hakim Steven Bright katika Ofisi Ndogo ya CCM, Lumumba jijini Dar Es Salaam.


Pamoja na mambo mengine Katibu wa NEC-Siasa na Uhusiano wa Kimataifa kanali mstaafu Ngemela Lubinga ameukabidhi Uongozi huo wa tawi la UVCCM kiasi cha fedha 450,000/- ikiwa sehemu ya fedha walizoomba kukamilisha uboreshaji wa ofisi yao iliyopo katika Tawi la Kilimo.

PICHA NA MAKAO MAKUU CCM
 
Hii angemwambia msemaji wao wa jeshi ingekaa unyama sana.
 
Kwa sasa kuna kitu wanakiita uchawa.Kuna wakati sababu ya pressure zake, huwa tunakosa muda wa kusoma na kuelewa sheria na taratibu.

Huwa tunakosa muda hata wa kuuliza kwa wengine ili tujifunze na kuelewa.

Uchawa kama ulivyo, huwa unatoa ahadi ambazo haziwezi kutekelezeka. Uchawa kwa tabia zake unatoa ahadi za maisha ya peponi, wakati bado tunaishi duniani.

Na duniani, wazee walituasa, hujafa hujaumbika......
JK, Kinana, na wengi tu walikuwa kwenye siasa na Bado wapo
 
Kwa nini waachane na siasa wakati wamestaafu?

JK, Lubinga, Siro na wengine wengi mbona hawajaachana na siasa??
Kikwete alistaafu jeshi akakumbatia siasa mpaka kupata urais, atufafanulie hili ni kosa?
 
Back
Top Bottom