Muhozi kama unafuatilia account yake ya Twitter ni muda mrefu na mara zote huwa anapost ujinga Hadi unajiuliza huyu MTU ana akili.Nahisi atakua amedukuliwa maana ana tweet upupu tu. Ila kama yupo serious,Wacha tuone ajue sumu haionjwi hata siku moja.
Kwanba tanzania ina vifatu 42ivi huwa unafatilia mambo kweli mambo yanabadilika sana !!labda tuwashinde kwa maneno
Unaweza Kuta Kuna shehena ya bidhaa zao zimezuiliwa hapo Mombasa portAlfu bomba la wese lipite wapi waKenya Ni wakora acha muhoozi awanjoshee takataka wale
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Ana asili ya kitutsi huyu msimshangae. Hao ndio asili yao hujidai kujigamba na kujiona wanajua sana. Ndio maana congo fujo haziishi maana wanaona wao tu ndio wanafaa kuongoza. Bladfuu hawa.Yaaani nimeshindwa kuelewa mshauri wa masuala ya usalama katika nchi analeta utoto kama huu duuhView attachment 2376256
Mkuu T14 Armata Ni ya kweli haya? Mwongozo pleaseJWTZ kusini mwa jangwa la sahara inapambana na south africa. Waone hivi hivi.
Yeye na pauloUkiunga doti unaweza kufahamu ni nani hasa wanao fadhili waasi wa Uganda walioko kwenye misitu ya congo achunguzwe vizuri huyu
Au ni fake newsKuna kitu hakiko sawa
Tuanze na Nigeria na Ethiopia hatusogei. Hata Angola yenyewe hatuiwezi. Unapigana kwa silaha, idadi ya wanajeshi, mafunzo, uzoefu na deployments. Sasa unapiganishaje nchi ambayo iko dormant kwenye ulinzi dhidi ya nchi zenye vita na mikiki mara kwa mara kiasi kwamba wamejipanga.Mkuu T14 Armata Ni ya kweli haya? Mwongozo please
Tegemea 'Fools' Kukubishia kwa hili!!!!Huo ni ukweli jeshi la Uganda UPDF kwa sasa Afrika mashariki hakuna wakuwagusa kabisa
.Katika mtazamo huo wa nchi kuwa 'dormant ' kiasi inapelekea kukosa uzoefu wa kivita,vp kwa South Africa? In tofauti gn na Tz ktk swala la kutopata mikiki mikiki na kutojihusisha na operation za kivita?Tuanze na Nigeria na Ethiopia hatusogei. Hata Angola yenyewe hatuiwezi. Unapigana kwa silaha, idadi ya wanajeshi, mafunzo, uzoefu na deployments. Sasa unapiganishaje nchi ambayo iko dormant kwenye ulinzi dhidi ya nchi zenye vita na mikiki mara kwa mara kiasi kwamba wamejipanga.
Kuna sababu kwa nini nchi za NATO huungana kufanya operations hata kama zinapigana na adui dhaifu. Sio unalala tu miaka zaidi ya 30 hakuna hata kamanda mmoja ashacommand unategemea ujue dunia inaendaje kiulinzi.
Huwezi linganisha Kenya inayofanya deployments Somalia, inatuma attack helicopters, inafanya landings, inafanyiwa ambush, inatuma armmoured vehicles zinashambuliwa na maroketi na IEDs, inategua mabomu na kuwa macho kambi zake zisivamiwe na magaidi, inapigwa na adui inalaumiwa na raia kisha serikali inaingia gharama kununua silaha na kufanya mafunzo kuhakikisha suala kama hilo halijirudii. Jeshi kama hilo haliwezi enda sawa na jeshi la nchi iliyotulizana
Na siku ajaribu,maana nchi ya Uganda ina laana, shida kubwa ni watawala wa nchi iyo wamilikisha watoto wao vyeo vya juu jeshini na kuwapa nafasi nyeti hata KWa Amin yuliyaona,Mtoto wa Museveni, Muhoozi Kainerugaba anasema haitachukua wiki mbili kwa Uganda kuiteka Nairobi.
View attachment 2376765
Hiyo sio kigezo tu. Switzerland haijawahi pigana vita miaka zaidi ya 200 ila ina silaha kali na budget ya kutosha hadi wameidhinisha kununua F-35 jets. Miaka ya Cold war walikuwa na maandaki ya kuwatoshea raia wote nchi nzima plus 10% ya population kama wageni au ongezeko la ghafla la raia. So walijipanga vikali ingawa hawashiriki vita..Katika mtazamo huo wa nchi kuwa 'dormant ' kiasi inapelekea kukosa uzoefu wa kivita,vp kwa South Africa? In tofauti gn na Tz ktk swala la kutopata mikiki mikiki na kutojihusisha na operation za kivita?
Kama ni kweli Muhoozi kasema hivyo msiwe na Hofu kwani Mwezi Mmoja uliopita Rais Museveni ( Baba yake Mzazi ) aliwaita Marafiki zake Wawili ( Wazee Wawili wa Kitanzania ) sasa ni Wastaafu ila walikuwa wakihidimu Taasisi ya Ikulu na Nyeti Awamu ya Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere na katika Mazungumzo yao Mzee ( Rais ) Museveni aliwaomba Wazee hawa Wamuite Muhoozi huku Tanzania waongee nae na Wamkanye juu ya haya ayafanyo kwani hata Baba yake ( Rais ) Museveni yanamkwaza pia.Huyu kijana nilishataka kuweka uzi humu kuwa kuna siku akipata madaraka anaweza kuja kuzusha vita nyingine, cha kwanza hana hekima wala ustaarabu na cha pili anajiamini kupitiliza na ni mtu wa choko choko