Jeshi letu la uganda ni imara haitachukua hata week mbili kuichukua Kenya yote.
Haaaaaaah dahHizi chokochoko bora atufanyie sisi hatuna cha kufanya....hasa hasa tutamuachia Mungu
Huyu dogo hizi tweets anaandika akiwa amelewa au vipi?
Au kuna tension yoyote hatuijui kati ya UG na KE??
Hizi takwimu ni kwa mujibu wa nani, rwanda , kenya ama uganda?ivi huwa unafatilia mambo kweli mambo yanabadilika sana !!labda tuwashinde kwa manenoView attachment 2376555
Mimi naona kama anakuja kufanya revolution against baba yake.Madikteta wengi hufanya mambo ya kipuuzi. Angalia Putin na sasa huyu mduanzi toka Uganda π€
πππ€£π€£ingia google angalia !! hazijaandaliwa na kenya wala uganda wala rwanda ni Global power indexHizi takwimu ni kwa mujibu wa nani, rwanda , kenya ama uganda?
Kama unamfuatilia huyu 4* General utaona Twitter zake hata za zamani anapenda sana masikhara lakini pia ana ndoto zake za kuifanya EA iwe moja siku mojaKwa akili ya kawaida kabisaa hizo tweets naweza sema ni crafted.
Mtu mwenye akil timamu na nafas kama yake hawez thubutu fanya utani kama huu.
Haiwezekani abadani
ππππ yani tank TZ ziko 42 ππππivi huwa unafatilia mambo kweli mambo yanabadilika sana !!labda tuwashinde kwa manenoView attachment 2376555
Kwa HIO Tanzania hatuna rocket projector? Naπππππivi huwa unafatilia mambo kweli mambo yanabadilika sana !!labda tuwashinde kwa manenoView attachment 2376555
Mkuu vipi MFANO kama south africa au japan MARA ya mwishonkupigana ni lini inamaana ATAKUWA ni weak sana au?Tuanze na Nigeria na Ethiopia hatusogei. Hata Angola yenyewe hatuiwezi. Unapigana kwa silaha, idadi ya wanajeshi, mafunzo, uzoefu na deployments. Sasa unapiganishaje nchi ambayo iko dormant kwenye ulinzi dhidi ya nchi zenye vita na mikiki mara kwa mara kiasi kwamba wamejipanga.
Kuna sababu kwa nini nchi za NATO huungana kufanya operations hata kama zinapigana na adui dhaifu. Sio unalala tu miaka zaidi ya 30 hakuna hata kamanda mmoja ashacommand unategemea ujue dunia inaendaje kiulinzi.
Huwezi linganisha Kenya inayofanya deployments Somalia, inatuma attack helicopters, inafanya landings, inafanyiwa ambush, inatuma armmoured vehicles zinashambuliwa na maroketi na IEDs, inategua mabomu na kuwa macho kambi zake zisivamiwe na magaidi, inapigwa na adui inalaumiwa na raia kisha serikali inaingia gharama kununua silaha na kufanya mafunzo kuhakikisha suala kama hilo halijirudii. Jeshi kama hilo haliwezi enda sawa na jeshi la nchi iliyotulizana
Mkuu juu umezungumazia kuhusu swala la mission na sio vifaa maana hata USA ana vifaa vya kutosha na mpaka sasa yupo kwenye vita, kwa MDA wa miaka mingi sana. Ila bado hata mimi nawaona ni wa KAWAIDA ukinganisha na kama china ambao MARA ya mwisho kupigana ni zaidi ya miaka 40 ya nyuma. Vipi hioHiyo sio kigezo tu. Switzerland haijawahi pigana vita miaka zaidi ya 200 ila ina silaha kali na budget ya kutosha hadi wameidhinisha kununua F-35 jets. Miaka ya Cold war walikuwa na maandaki ya kuwatoshea raia wote nchi nzima plus 10% ya population kama wageni au ongezeko la ghafla la raia. So walijipanga vikali ingawa hawashiriki vita.
South Africa hata silaha wanatuuzia mfano MRAPs kama za Mamba wanauza kwetu, Uganda, Kenya, West Africa uko. Anti tank missiles kama Mokopa wanauza nje ya Africa na iko very effective. Wameuza anti air missiles kwenye corvette ya Finland. Waliwahi kuwa na Rooivalk attack helicopters wakakosa wateja kimataifa kwa figisu za Marekani. Makampuni yao kama Denel yanauza silaha nyingi tu. Sasa uwalinganishe na sisi.
Ndio maana kazi za helicopters kwenye majeshi ya kulinda amani Afrika mara nyingi wanapewa wao. Wengine wanabaki na infantry tu
Sijajua kwa nini unasema Marekani ni wa kawaida na China ni imara. Siwezi kukupinga maana hujatoa sababuMkuu juu umezungumazia kuhusu swala la mission na sio vifaa maana hata USA ana vifaa vya kutosha na mpaka sasa yupo kwenye vita, kwa MDA wa miaka mingi sana. Ila bado hata mimi nawaona ni wa KAWAIDA ukinganisha na kama china ambao MARA ya mwisho kupigana ni zaidi ya miaka 40 ya nyuma. Vipi hio
Sasa USA ataweza kupigana na china?Sijajua kwa nini unasema Marekani ni wa kawaida na China ni imara. Siwezi kukupinga maana hujatoa sababu