Jenerali Muhoozi Kainerugaba ni dhahiri sasa amelewa madaraka. Ni kweli kwamba hajui madhara ya kauli aliyotoa kuhusu kuivamia Kenya?

Jenerali Muhoozi Kainerugaba ni dhahiri sasa amelewa madaraka. Ni kweli kwamba hajui madhara ya kauli aliyotoa kuhusu kuivamia Kenya?

Jeshi letu la uganda ni imara haitachukua hata week mbili kuichukua Kenya yote.

Kwa jinsi Ukraine imetembeza kichapo kwa supapawa wa Buza Urusi, nimejifunza kutoidharau nchi yoyote, ukivamia jiandae kupokea za uso.
Kwa sasa Marekani tu ndiye aliyesalia na jeuri la uwezo wa kuvamia na kutamba, najua waarabu wa Bongo itawauma sana hii.
Bwana Utam Uganda taifa teule takbir..
 
Madikteta wengi hufanya mambo ya kipuuzi. Angalia Putin na sasa huyu mduanzi toka Uganda 🤔
 
USA naye alivamia Vietnam ikamshinda na hata Somalia alichemsha vita usimdharau mtu. Fita ni fita mura.
 
Bill picha zale hainogoView attachment 2379232View attachment 2379233
20221004060733_492882138_9195658646649262604_595_400_85_webp.jpg
View attachment 2379234

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kwa akili ya kawaida kabisaa hizo tweets naweza sema ni crafted.
Mtu mwenye akil timamu na nafas kama yake hawez thubutu fanya utani kama huu.
Haiwezekani abadani
 
Kwa akili ya kawaida kabisaa hizo tweets naweza sema ni crafted.
Mtu mwenye akil timamu na nafas kama yake hawez thubutu fanya utani kama huu.
Haiwezekani abadani
Kama unamfuatilia huyu 4* General utaona Twitter zake hata za zamani anapenda sana masikhara lakini pia ana ndoto zake za kuifanya EA iwe moja siku moja

Kila mmoja ana ndoto zake ila jamaa sio mbaya hivyo anaamini anachoamini

Ameomba radhi kwa wakenya pia na aliandika kuwa baba yake hakupenda aliyosema na huenda kukawa na mabadiliko kwenye post yake

Na kweli yakatokea kwa kuondolewa kwake ila naona mzee kaogopa na kumtuliza pia kwa kumpandisha cheo kuwa General

Mfuatilie jamaa ana wafuasi kibao Twitter
Screenshot_20221007-110205_Twitter.jpg
View attachment 2379616View attachment 2379617
 
Tuanze na Nigeria na Ethiopia hatusogei. Hata Angola yenyewe hatuiwezi. Unapigana kwa silaha, idadi ya wanajeshi, mafunzo, uzoefu na deployments. Sasa unapiganishaje nchi ambayo iko dormant kwenye ulinzi dhidi ya nchi zenye vita na mikiki mara kwa mara kiasi kwamba wamejipanga.

Kuna sababu kwa nini nchi za NATO huungana kufanya operations hata kama zinapigana na adui dhaifu. Sio unalala tu miaka zaidi ya 30 hakuna hata kamanda mmoja ashacommand unategemea ujue dunia inaendaje kiulinzi.

Huwezi linganisha Kenya inayofanya deployments Somalia, inatuma attack helicopters, inafanya landings, inafanyiwa ambush, inatuma armmoured vehicles zinashambuliwa na maroketi na IEDs, inategua mabomu na kuwa macho kambi zake zisivamiwe na magaidi, inapigwa na adui inalaumiwa na raia kisha serikali inaingia gharama kununua silaha na kufanya mafunzo kuhakikisha suala kama hilo halijirudii. Jeshi kama hilo haliwezi enda sawa na jeshi la nchi iliyotulizana
Mkuu vipi MFANO kama south africa au japan MARA ya mwishonkupigana ni lini inamaana ATAKUWA ni weak sana au?
 
Hiyo sio kigezo tu. Switzerland haijawahi pigana vita miaka zaidi ya 200 ila ina silaha kali na budget ya kutosha hadi wameidhinisha kununua F-35 jets. Miaka ya Cold war walikuwa na maandaki ya kuwatoshea raia wote nchi nzima plus 10% ya population kama wageni au ongezeko la ghafla la raia. So walijipanga vikali ingawa hawashiriki vita.

South Africa hata silaha wanatuuzia mfano MRAPs kama za Mamba wanauza kwetu, Uganda, Kenya, West Africa uko. Anti tank missiles kama Mokopa wanauza nje ya Africa na iko very effective. Wameuza anti air missiles kwenye corvette ya Finland. Waliwahi kuwa na Rooivalk attack helicopters wakakosa wateja kimataifa kwa figisu za Marekani. Makampuni yao kama Denel yanauza silaha nyingi tu. Sasa uwalinganishe na sisi.

Ndio maana kazi za helicopters kwenye majeshi ya kulinda amani Afrika mara nyingi wanapewa wao. Wengine wanabaki na infantry tu
Mkuu juu umezungumazia kuhusu swala la mission na sio vifaa maana hata USA ana vifaa vya kutosha na mpaka sasa yupo kwenye vita, kwa MDA wa miaka mingi sana. Ila bado hata mimi nawaona ni wa KAWAIDA ukinganisha na kama china ambao MARA ya mwisho kupigana ni zaidi ya miaka 40 ya nyuma. Vipi hio
 
Mkuu juu umezungumazia kuhusu swala la mission na sio vifaa maana hata USA ana vifaa vya kutosha na mpaka sasa yupo kwenye vita, kwa MDA wa miaka mingi sana. Ila bado hata mimi nawaona ni wa KAWAIDA ukinganisha na kama china ambao MARA ya mwisho kupigana ni zaidi ya miaka 40 ya nyuma. Vipi hio
Sijajua kwa nini unasema Marekani ni wa kawaida na China ni imara. Siwezi kukupinga maana hujatoa sababu
 
Back
Top Bottom